Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la Baba

Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la BabaView attachment 3363693
naona unapambana KUEPUKA usije litaja Jina la Yesu Kristo, naomba nikusaidie kulitaja. Usilionee haya Jina la Yesu Kristo, ndio wokovu wako na maombi yako yote hayajibiwi usipolitaja.

WAFILIPI 2:10 - 11; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba

MATENDO 4:12; Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo
 
Mbona tunapangiana cha kupost mkuu?
Uyo yesu n Mtoto WA nani?
 
Yesu ni Mtoto WA Mungu ivyo Baba atabaki kua baba tu kitoto cha ibirisi kijuaji alafu mbele giza
pole ndugu shetani, ila ukweli utabaki pale pale akikupiga kelubu moja hivi hauna hata hamu.huna nguvu kabisa kwake. shwain.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
pole ndugu shetani, ila ukweli utabaki pale pale akikupiga kelubu moja hivi hauna hata hamu.huna nguvu kabisa kwake. shwain.
Kumuabudu binaadam mwenzako nao n ushetani pia 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…