Ynnah yu'mgonjwa jamani!

Ynnah yu'mgonjwa jamani!

Ama kweli penye miti hapana wajenzi,jamaa yako hakujali? Embu niPM fasta nikuonyeshe maTLC ya ukweli ladyfurahia.
Mkuu Judgement pole kwa kuuguza,namtakia a quick recovery.
Btw mke wa mtoto wa malkiawa UK kulikoni,kaingia leba sa12 asubuhi hadi sa izi? Mmmmhhh

Asante Mshaija! Mussajja wao!
Sijui ndiyo nishamjaza! My wife!
Labda!
 
Last edited by a moderator:
mwombeeni mimisa pia,
hali yake haikuwa nzuri...
get well soon
 
Last edited by a moderator:
Pole sana YNNAH M/mungu akujaalie upone haraka, ukampikie mumeo futari asihangaike kula kwa kina mama ntilie
 
Last edited by a moderator:
Yote hayo ni sehem ya maisha kibaolojia na kikemia but pole sana kwa kuuguza na mgonjwa pole kwa kuugua
 
kaka mpe pole mkeo
mwambie mungu atampa tahfif
 
Back
Top Bottom