imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kuna Mini Nuclear zinarushwa kwa kutumia AI tech acheni kushipaza shingo.Ndoto za Ali Nacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Mini Nuclear zinarushwa kwa kutumia AI tech acheni kushipaza shingo.Ndoto za Ali Nacha
Hakuna wa kutumia Nuclear zama hiziKuna Mini Nuclear zinarushwa kwa kutumia AI tech acheni kushipaza shingo.
Waambie wathubutuKwa technology ya leo inawezekana
Nani atawazuia,, Waarbu wote na Ayatolah wao wameufyata.Waambie wathubutu
Ayatollah yupi? Irani ni mbabe wa mashariki kila siku US analeta silaha mpya mara THAAD mara B52 wanao muogopa ni Iran hakuna mwengineNani atawazuia Waarbu wote na Ayatolah wao wameufyata.
Huyo Ayatolah atanyongwa kama Saddam ngoja uone.Ayatollah yupi? Irani ni mbabe wa mashariki kila siku US analeta silaha mpya mara THAAD mara B52 wanao muogopa ni Iran hakuna mwengine
Ma ayatollah yanajua sana kujifarijiMajuto kivipi wakati Israel imefanikiwa kuusambatisha mtandao wa kigaidi Gaza, viongozi wote wa magaidi wameuliwa na pia miundo mbinu ikiwemo mahandaki yamefumuliwa na Gaza imegeuzwa kifusi
Acha kufananisha Ayatollah na vitu vya ajabuHuyo Ayatolah atanyongwa kama Saddam ngoja uone.
Kulikuwa na Washabiki wa Saddam wakimsifia kama ninyi mnavyomsifia Mzee Ayatolah.Acha kufananisha Ayatollah na vitu vya ajabu
Iran anatoa msaada wa Silaha Urusi kupambana na Ukraine pamoja na washirika wake, acha kabisa kumfananisha Ayatollah na vitu vya ajabuKulikuwa na Washabiki wa Saddam wakimsifia kama ninyi mnavyomsifia Mzee Ayatolah.
Siku Saddam ananyongwa wengi waliingia Mitini😁😆
Saddam aliingia hiyo Iran na Jeshi la Ayatolah lilishindwa kumtoa akaingia Kuwait alilkuwa ni Mbabe lakini alinyongwa siku ya Iddi.Iran anatoa msaada wa Silaha Urusi kupambana na Ukraine pamoja na washirika wake, acha kabisa kumfananisha Ayatollah na vitu vya ajabu
Sadam aliingia Iran ambayo ilikuwa imetoka kwenye mapinduzi ya kumtoa yule kibaraka wa US, Silaha zote walikuwa wananunua kwa watu , hii Iran ya sasa imejitafuta imejipataSaddam aliingia hiyo Iran na Jeshi la Ayatolah lilishindwa kumtoa akaingia Kuwait alilkuwa ni Mbabe lakini alinyongwa siku ya Iddi.
Siku Ayatolah ananyongwa nitakutag wala usijali.Sadam aliingia Iran ambayo ilikuwa imetoka kwenye mapinduzi ya kumtoa yule kibaraka wa US, Silaha zote walikuwa wananunua kwa watu , hii Iran ya sasa imejitafuta imejipata
Sawa ila usije kuanza wewe kabla ya AyatollahSiku Ayatolah ananyongwa nitakutag wala usijali.
Kunawatu walibisha humu kuwa Gaidi Yahya Sinwar hawezi kuuwawa siku anauwawa nikawatag.Sawa ila usije kuanza wewe kabla ya Ayatollah
Sinawar ni mtoto wa Iran , halafu Iran ni baba, acha kufananisha watu kutoka nchi hiziKunawatu walibisha humu kuwa Gaidi Yahya Sinwar hawezi kuuwawa siku anauwawa nikawatag.
Nilikuwa nasema humu Gaidi Nasrallah litauwawa mkashupaza shingo nikasema Gaidi Sinwar litauwawa na sasa nakuambia hivii Ayatolah nae siku zake zinahesabika.Sinawar ni mtoto wa Iran , halafu Iran ni baba, acha kufananisha watu kutoka nchi hizi
Hawa wote ni viongozi wa vikundi acha kabisa kuwaweka kundi moja na Ayatollah mwamba wa MasharikiNilikuwa nasema humu Gaidi Nasrallah litauwawa mkashupaza shingo nikasema Gaidi Sinwar litauwawa na sasa nakuambia hivii Ayatolah nae siku zake zinahesabika.