TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Sijui kwanini duniani kuna vitu vigumu kiasi hiki... Eeeh Mungu baba wa rehema kampe pumziko la haki marehemu..
Nazidi kuziombea ndoa na mahusiano mengine yanayopitia katika nyakati ngumu za ugomvi na mafarakano... Baba wa rehema katende sawa sawa na mapenzi yako... Kahukumu kwa haki wale wote wanaotibua ndoa na mahusiano ya wengine
Tunatambua ulisema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE... basi na iwe hivyo... Aaamen [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
AMEN
 
Wanandoa inabidi waendelee kujifunza kuishi kwa kuvumiliana... ila labda marehemu atakuwa alienda kupima akakuta amepata tatizo tayari!!! maana matatizo yakizidi unaweza kuhama tu ukamwachia uhuru...RIP.

mkuu hata mimi nimelifikilia sana swala hilo ila nikawa muoga kulisema.

ukisoma ujumbe wa marehemu anasema amepambana na matatizo ya ndoa takribani kwa miaka 4.

Akasema kuwa tukio la jana usiku na leo asubuhi limemkatisha tamaa,

Theoretically:

1. Tukio la jana usiku itakuwa mke alichelewa kurudi

2. Tukio la leo asubuhi.......something smells fishy
 
Rest in peace kamanda......duniani humu kuna mitihani sana, ukikosa mtu wa kukukwamua kwenye magumu unayopitia ni rahisi kufanya maamuzi yasiyotalajiwa.
 
So sad, angeondoka hapo nyumbani akayatafakari kwingine hata kwao. R.I.P awaee.

Ni bahati mbaya hakupata hilo wazo. Angeamua kumuacha mke aendelee na mambo mengine muhimu kwa maisha.

Hasira ni kuitesa nasi yako kwa makosa ya mtu mwingine. Tujitafakari kuepuka mambo kama haya.
 
Dah...Yona amenisikitisha sana to be true. Nimetoka naye mbali sana. Tangu 2002 tulipokua tunaanza kuhangaika na utundu wa mitandaoni. Na mambo mengune mengu ambayo siwezi kuyasema lakini kwa ufupi alikua ni kijana very bright na aliyeipenda nchi yake kwa moyo wote.
Nilitamani nijitahidi niwezavyo niweze kuhudhuria mazishi yake, ila bahati mbaya huwa sina utamaduni wa kuhudhuria mazishi ya mtu aliyejiua.
Dah...so sad. Kama bado tungekua intouch nina uhakika asingefikia maamuzi hayo.
Wewe hudhuria mazishi ya rafiki yako mengine muachie Mungu.
 
Jamaa alikuwa Kamanda lakini Kajiua kwa sababu ya Ke inasikitisha sana...Ke akizingua achana naye hata kama kakuzidi kipato.
View attachment 674649
Mahabusu tena siku 60??? Ningependa kusikia upande mwengine wa hili tukio...mpaka mwanamke mwenye familia kufikia maamuzi ya kuchepuka tena na hadi kuchelewa kurudi nyumbani tena mara kwa mara kuna namna.
 
RIP Yona Maro! Nakumbuka mara ya mwisho nilipokuja Mbeya nilikuona pale kwenye jengo la CRDB. Nikashangaa (kama) umehamia Mbeya, kwa sababu mara kwa mara tulikuwa tunaonana maeneo ya Upanga jijini Dar - nilikuwa nahisi waishi Dar (sipendi kuulizia watu wanapoishi). Sasa natambua kwa nini nchi kama Mexico, waliosomea Psychology ni wengi sana kwao, na pia ni sifa. Yona alihitaji msaada, ambao yamkini angeupata kama psychologist na watu wenye msaada unaofanana wangekuwa wengi katika mazingira yetu. Mungu akusamehe.
 
Kuna taarifa kuwa Yona Fares Maro ambaye ni mwanaJF na muasisi wa Wanabidii, Google Group amefariki dunia jana tarehe 12 January 2018 baada ya kunywa sumu.

View attachment 674668

Uamuzi wa kunywa sumu ulitokana na ugomvi baina yake na mke wake nyumbani kwao Mbeya.

Mazishi yatafanyika Jumatatu tarehe 15 Januari Kijijini kwao Mowo, Old Moshi - Kilimanjaro.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe.

Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu

Chanzo ni ukurasa wa Facebook wa dada yake na Yona: Janet Fares Maro

Huu ndio ujumbe aliouacha marehemeu nyuma ya kifo chake

Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.

Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi.

Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendelee!
Uamuzi wa kijinga kabisa kujiua na kumwachia mkeo mwanamme mwingine.
 
Pumzika kwa amani Yona,tutakukumbuka kwa kuwa mmoja ya waasisi wa jukwaa la teknolojia hapa Jamiiforums nakumbuka ulitofautiana na wamiliki wa JF ukaenda kuanzisha forum yako ya Wanabidii pia nilikuwa nasoma makala zako kwenye gazeti la Mwananchi
Binafsi nakumbuka ndio ulikuwa mtu wa kwanza kuniandikia PM hapa JF
 
Uamuzi wa kijinga kabisa kujiua na kumwachia mkeo mwanamme mwingine.
Mshukuru Mungu kama uko imara katika msongo wa mawazo....usiponde tu.....sijui kama Tanzania tunazo...but wenzetu wana "Stress and Depression Clinics".... I think u know what I mean.
 
ndio shida ya kuoa mwanamke alieuzidi elimu na kipato....lazima akunyanyase tu....Mwanaume kama huna elimu ya kutosha usioe mwanamke aliekuzidi elimu na kipato ....atakutesa tu
 
Acha wivu wa kike ndg.kama huwezi tengeneza kipato kwa kutumia mtandao waache wanaoweza eafanye kazi. Kwani umesikia wamekaba mtu?

Watu aina yako ukiwemo wewe ni adui wa maendeleo.
Hujanielewa na acha kukurupuka, mihemko ni hatari! Nilijenga hoja kuwa kuna watu wanaitumia mitandao wanapata faida kama niliowataja. Na wengine wanapoteza muda wa kutafuta riziki. In short niliwasifia sasa wapi Nimeona wivu! Wanatumia fursa zilizopo! Marehemu did not use the said opportunities rather he was being used maskini
 
Kada katika ubora wako. Picha hujaiona hapo mwanzoni mwa thread au umeathiriwa na mlipuko wa mkuu wako.
Ntake radhi mdogo wangu,

Namaamisha picha ya mkewe yona


invest what you are willing to lose
 
Back
Top Bottom