AMENSijui kwanini duniani kuna vitu vigumu kiasi hiki... Eeeh Mungu baba wa rehema kampe pumziko la haki marehemu..
Nazidi kuziombea ndoa na mahusiano mengine yanayopitia katika nyakati ngumu za ugomvi na mafarakano... Baba wa rehema katende sawa sawa na mapenzi yako... Kahukumu kwa haki wale wote wanaotibua ndoa na mahusiano ya wengine
Tunatambua ulisema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE... basi na iwe hivyo... Aaamen [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Wanandoa inabidi waendelee kujifunza kuishi kwa kuvumiliana... ila labda marehemu atakuwa alienda kupima akakuta amepata tatizo tayari!!! maana matatizo yakizidi unaweza kuhama tu ukamwachia uhuru...RIP.
Amekosea kujinyonga... Yaani nyapu ikuuwe duh
So sad, angeondoka hapo nyumbani akayatafakari kwingine hata kwao. R.I.P awaee.
Wewe hudhuria mazishi ya rafiki yako mengine muachie Mungu.Dah...Yona amenisikitisha sana to be true. Nimetoka naye mbali sana. Tangu 2002 tulipokua tunaanza kuhangaika na utundu wa mitandaoni. Na mambo mengune mengu ambayo siwezi kuyasema lakini kwa ufupi alikua ni kijana very bright na aliyeipenda nchi yake kwa moyo wote.
Nilitamani nijitahidi niwezavyo niweze kuhudhuria mazishi yake, ila bahati mbaya huwa sina utamaduni wa kuhudhuria mazishi ya mtu aliyejiua.
Dah...so sad. Kama bado tungekua intouch nina uhakika asingefikia maamuzi hayo.
And vice versa!"Mwanaume anapaswa kuishi na mke kwa akili"
R.i.P marehemu
Mahabusu tena siku 60??? Ningependa kusikia upande mwengine wa hili tukio...mpaka mwanamke mwenye familia kufikia maamuzi ya kuchepuka tena na hadi kuchelewa kurudi nyumbani tena mara kwa mara kuna namna.Jamaa alikuwa Kamanda lakini Kajiua kwa sababu ya Ke inasikitisha sana...Ke akizingua achana naye hata kama kakuzidi kipato.
View attachment 674649
Uamuzi wa kijinga kabisa kujiua na kumwachia mkeo mwanamme mwingine.Kuna taarifa kuwa Yona Fares Maro ambaye ni mwanaJF na muasisi wa Wanabidii, Google Group amefariki dunia jana tarehe 12 January 2018 baada ya kunywa sumu.
View attachment 674668
Uamuzi wa kunywa sumu ulitokana na ugomvi baina yake na mke wake nyumbani kwao Mbeya.
Mazishi yatafanyika Jumatatu tarehe 15 Januari Kijijini kwao Mowo, Old Moshi - Kilimanjaro.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe.
Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu
Chanzo ni ukurasa wa Facebook wa dada yake na Yona: Janet Fares Maro
Huu ndio ujumbe aliouacha marehemeu nyuma ya kifo chake
Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.
Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi.
Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendelee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...jipange tu bwana GM uoe ...waweza kuta unakwepa maisha matamu sana....look at the positive side of it not otherwise.SABABU ZA KUTOKUOA ZINAONGEZEKA
Mshukuru Mungu kama uko imara katika msongo wa mawazo....usiponde tu.....sijui kama Tanzania tunazo...but wenzetu wana "Stress and Depression Clinics".... I think u know what I mean.Uamuzi wa kijinga kabisa kujiua na kumwachia mkeo mwanamme mwingine.
Hujanielewa na acha kukurupuka, mihemko ni hatari! Nilijenga hoja kuwa kuna watu wanaitumia mitandao wanapata faida kama niliowataja. Na wengine wanapoteza muda wa kutafuta riziki. In short niliwasifia sasa wapi Nimeona wivu! Wanatumia fursa zilizopo! Marehemu did not use the said opportunities rather he was being used maskiniAcha wivu wa kike ndg.kama huwezi tengeneza kipato kwa kutumia mtandao waache wanaoweza eafanye kazi. Kwani umesikia wamekaba mtu?
Watu aina yako ukiwemo wewe ni adui wa maendeleo.
Ntake radhi mdogo wangu,Kada katika ubora wako. Picha hujaiona hapo mwanzoni mwa thread au umeathiriwa na mlipuko wa mkuu wako.