Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mwanamke ni boss wa mumewe nakubaliana nawe asilimia miandio mjue mwanaume hata awe vipi kwa mwanamke ni dhaifu,RIP Yona
Hasara za kupoteza muda mwingi katika mitandaoUgonjwa wa kupenda ni mbaya sana. Mimi kuna mwanamke mmoja kutokana na ugonjwa wa kupenda amechukua fedha zake akawekeza kwangu millions na mimi kusema kweli kila nikijitahidi nimpende nashindwa yan sometime namuomba Mungu anishushie upendo nimpende tu lakini daah namuachia Mungu.
Sasa huko kwenye mitandao naye kawa kama chizi hadi sometime namuita home kumtuliza ila sijui nitafanyeje kumpenda jamani jamani! Kuna muda natamani hata aniendee kwa mganga basi nimpende tu! Mwanamke ana elimu nzuri ya masters. Umbo zuri nilimkuta bado hajatumika ila upendo kweli nasema kutoka moyoni haupo haupo haupo. Ee Mungu nisamehe tu kwa dhambi hii ila sitaki nimuweke kwangu kisha nianze kufanya mambo ya ajabu maana simpendi na nimeshindwa hata kudanganya upendo.
Hata huyu jamaa aliyejiua naona mwanamke hakumpenda ila alilazimisha tu. Aisee usiombee uwe na moyo huo!
Kuna wengine tumeachana na wake zetu kistaarabu na tunafurahia maisha ya kuwa single!Hata hivyo watu wasioamini katika maamuzi kama haya wanatushangaa sana,lakini ni bora zaidi kuliko kuua ama kujiua.
Na haya maneno yenu ya kibamia kuna watu wanayaweka akilini sana.Unakuta mke anakuchana live kuwa anachelewa kurudi kwa vile alikuwa anamalizia muhogo wake,bamia inampa kichefuchefu!
Kwa wanaume wenye roho nyepesi ndo huamua kuchukua maamuzi kama hayo ama kuchinja kabisa mkewe.
nyie kwan huwa mnajali??usikute muda huu yupo kwa afisa maji anamkandia marehemu!!akili zenu mnazijua wenyewe...
Ni mmojawapo ya members wa kwanza kabisa wa JF..Alikuwa maarufu sana humu akitumia jina la ‘SHY’....mbona smjui?
R.I.P Yona.
Nimeshangaa sana, nilijuaga hawa watu wivu nehii kabisa.Wachaga mmeanza kula kamba?
Sasa si mutaisha ?
Kwa sababu wake zenu mnawaacha kwenu huko moshi mnajifanya mnakuja dsm kutafuta maisha.
Mke mnamuacha na baba mkwe.
Sema watoto mnazaa wanaofanana na nyinyi.
Sasa swali langu ni je mmeshaanza hivi kula kamba si mtaisha?
Sisi tuliaminishwa kuwa watani zangu hawana wivu wa mapenzi. pumbavu. Kumbe ni maneno tu?
Ngoja nitafute mke wa mchaga ambaye yupo bise na biashara zake nimtafune.
Huku vyuma huku wife katafunwa.
Mtakula sana kamba pumbavu.
Ngurooooooo!
Shuveeeeeeee!
(Wachaga ni watani zangu kwa hio hii komenti inawastahili sana)
Sure.Hasara za kupoteza muda mwingi katika mitandao
Hao ni viazi mbatata wanaojitia kamba...so many women in za world...so why thisNimeshangaa sana, nilijuaga hawa watu wivu nehii kabisa.
Muda wote alikuwa anaperuzi JF.Sure.
Mwanamke kaliwa mara ya kwanza bado unaye tu, mara ya pili bado unaye tu. Ya tatu?Nimesikitika sana, hawa wanandoa nawajua hata kabla hawana watoto. Tatizo mwanamke yupo njema na jamaa alikuwa choka ila alikuwa kijana mpole na mtulivu. Baba wa mwanamke alikataa wasifunge ndoa coz jamaa kiuchumi sio bomba na ni kweli huyu muuni sana na chapombe kama Baba yake na kwao ni nyuma ya shule ya mapambano sinza