TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Amechukuwa uwamuzi wa haraka sana ,ni wengi sana wako kwenye shida hizo ukilegea kama alivyolegea yeye matokeo yake ndo hayo ya kujizuru bila kufikiria familia na wasio husika na zambi za huyo mama kama watoto ,wazazi ndg na jamaa kwa sasa wanaume wanaishi kwa shida sana kwenye ndoa zao,palipo na wanaume kumi wenye wake 8 au wote wako ktk shida kama hizo,wanawake wanatesa waume zao sana saa ingine mwanaume wananyimwa tendo la ndoa karibu miaka na miaka lkn wanaume huvumilia hawasemi matatizo hayo mwisho wa yote huchukua uwamuzi kama wa ndg yetu huyo,kikubwa yatupasha kumshirikisha MUNGU kupitia watumishi wake lkn ukificha jambo mwisho wake ni mauti ambayo ndg yetu tayari yamemkuta,lkn kwa ufupi sana eng kama ni kweli anahusika basi hiyo ni zambi na zambi ikisha komaa huzaa mauti na hakika eng atakinywea kikombe wala hakuna shaka,bwana alione hilo.
 
watu wapole, wastaarabu huwa ndo vifo vyao, wanahisi wamedharaulika sana na aibu kwa jamii ivyo kifo ndo huwa ni suluhisho. wapuuzi sana

kuna mzee alijiua et kisa mtoto wake mkubwa kashikwa ugoni nae kama yohana mpole, mwelewa sana.
Mtoto wake alishikwa ugoni au
Mtoto wake mkubwa alishikwa ugoni naye?
 
Si wangeachana ,ni kweli kuna muda waweza jitoa roho lakin unajikaza unaachana nae
 
Aisee Eng Lossy
wa Idara ya Maji Mbeya
waendelee!

Laana hii yote uliyoichukua ya kazi gani? Umekosa mke wewe.
Laana ataenda nayo marehemu kaburini!!! Upumbavu wake kujiua hakuuliwa na mtu
 
Huyu jamaa alikua anajua sana mambo ya IT..inawezekana aliingilia simu ya mkewe akawa na uhakika...yote haya hayatoshi kujiua..bora angemuacha huyo dada..kwa mtaalamu mkubwa wa IT kama yeye kwanza nchi imepata pigo..anajua sana IT nasikitikia wanae na nchi kupoteza mtu kama huyu...la mhimu sasa Tujifunze wanawake sio ndg zetu asije kukusababishia mauti bila sababu.
 
Jamaa dhaifu sana aisee, unajiua sababu ya Mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…