YapSasa kwenye forex lazima hii kitu uikubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YapSasa kwenye forex lazima hii kitu uikubali
Amechukuwa uwamuzi wa haraka sana ,ni wengi sana wako kwenye shida hizo ukilegea kama alivyolegea yeye matokeo yake ndo hayo ya kujizuru bila kufikiria familia na wasio husika na zambi za huyo mama kama watoto ,wazazi ndg na jamaa kwa sasa wanaume wanaishi kwa shida sana kwenye ndoa zao,palipo na wanaume kumi wenye wake 8 au wote wako ktk shida kama hizo,wanawake wanatesa waume zao sana saa ingine mwanaume wananyimwa tendo la ndoa karibu miaka na miaka lkn wanaume huvumilia hawasemi matatizo hayo mwisho wa yote huchukua uwamuzi kama wa ndg yetu huyo,kikubwa yatupasha kumshirikisha MUNGU kupitia watumishi wake lkn ukificha jambo mwisho wake ni mauti ambayo ndg yetu tayari yamemkuta,lkn kwa ufupi sana eng kama ni kweli anahusika basi hiyo ni zambi na zambi ikisha komaa huzaa mauti na hakika eng atakinywea kikombe wala hakuna shaka,bwana alione hilo.Kuna taarifa kuwa Yona Fares Maro ambaye ni mwanaJF na muasisi wa Wanabidii, Google Group amefariki dunia jana tarehe 12 January 2018 baada ya kunywa sumu.
View attachment 674668
Uamuzi wa kunywa sumu ulitokana na ugomvi baina yake na mke wake nyumbani kwao Mbeya.
Mazishi yatafanyika Jumatatu tarehe 15 Januari Kijijini kwao Mowo, Old Moshi - Kilimanjaro.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe.
Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu
Chanzo ni ukurasa wa Facebook wa dada yake na Yona: Janet Fares Maro
Huu ndio ujumbe aliouacha marehemeu nyuma ya kifo chake
Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.
Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi.
Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendelee!
Wacha mzaha watu wako na huzuni na wako kwenye kweli ww unaleta mzaha pumbavu kweli ww aliuwa nani.Atasahau na ataishi kwa amani mbona Uwoya anadunda tu wakati amemuua kijana wa watu
Mtoto wake alishikwa ugoni auwatu wapole, wastaarabu huwa ndo vifo vyao, wanahisi wamedharaulika sana na aibu kwa jamii ivyo kifo ndo huwa ni suluhisho. wapuuzi sana
kuna mzee alijiua et kisa mtoto wake mkubwa kashikwa ugoni nae kama yohana mpole, mwelewa sana.
Yeah ndio huyuHuyo ndio mkewe?
Mzaha uko wapi?shitholeWacha mzaha watu wako na huzuni na wako kwenye kweli ww unaleta mzaha pumbavu kweli ww aliuwa nani.
Ww ni mwendawazim unafaa kuitwa paka shumeMzaha uko wapi?shithole
Sawa mamaWw ni mwendawazim unafaa kuitwa paka shume
Laana ataenda nayo marehemu kaburini!!! Upumbavu wake kujiua hakuuliwa na mtuAisee Eng Lossy
wa Idara ya Maji Mbeya
waendelee!
Laana hii yote uliyoichukua ya kazi gani? Umekosa mke wewe.
wanawakee ni wa kuwatumiaa tuuh, siyo wa kuwaweka maanani