TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

sijui huyo mwanamke anajiskiaje.
Anajisikiaje vipi tena, anajisikia raha na anaendelea kujiachia na Eng wa maji. Hapakuwa na haja ya huyo dogo kujiua, naye angetafuta mchepuko wake ale raha arudi hata baada ya siku mbi, huyo mwanamke angejirekebisha

Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
 
Pumzika Yona. Mbele yetu nyuma yako.
Mungu akupunguzie adhabu ya Kaburi.

Poleni wafiwa, Poleni watoto
 
Maisha haya tunapita kweli lkn kupita kwa namna hii si vyema, dada zetu mliopo huku ndani mkipendwa msiwanyanyase wanaowapenda maana si rahisi kujua nini mwenzio atafanya kwa kusalitiwa,,,,wengine wanaua wanawake, wengine wanajiua kama hivi

Wanaume wenzangu tulio hapa ndani, ni kosa kubwa sana kunyamaza na jambo zito kama kusalitiwa na mke, ikiwa haiwezekani kusema hapa ndani basi wapo wazazi, ndugu na jamaa wa karibu, zungumza nao watakushauri na kukusaidia.
Pumzika kwa amani kaka.
 
mungu alilaze mayali owma roho,na wala tusihukumu chochote,mungu alipa haki siku atapopenda
 
Alitengenezwa
 
Haujarithi tabia za ba mdogo kweli?
 
Alitengenezwa
Daahh kweli mambo haya yako!
Kuna siku rafki yangu aliniomba ushauri nikashindwa hata kumshauri kwa jambo lile lilivyokuwa gumu!
mkewe alimtuma akampokelee mzigo wake kutoka tanga aliotumiwa na mamaake!
jamaa alivyopokea akaupeleka hadi nyumba huo mfuko zikapita siku 2 anaona kama kuna nafsi inamtuma afungue ule mfu mfuko.
akaona isiwe tabu sababu mkewe ametoka ngoja aukague ule mfuko.
kufungua ndani anakuta madawa ya ajabu na matakataka mengine.
akakuta na karatasi na maelekezo kwa kila dawa.
ingine muekee mumewe katika chakula ingine kwenye maji ya kuoga.
masharti mengi mengi hadi jamaa akahisi akili imesimama!
ndio akaomba mi nimshauri
nikamshauri lakini nikaona kama limenielemea sana hili jambo lake ikabidi nimshauri aende kwa wazee wenye heshima zaidi ndio wangeweza kuweka mambo sawa.
 
Kunyanyasana kimapenzi kupo pande zote, kuna wanawake wananyanyaswa na waume pia.
Ila kujiua kisa mapenzi ni ujinga uliopitiliza.
 
Haujarithi tabia za ba mdogo kweli?
Hapana aseee ba mdogo alikuwa boya hata madem alikuwa anaogopa.alikuwa akimpenda manzi ananituma mi ananipa ela na gari naenda nakaa na yule dem huku namsifia dingi mdogo hapo.
ye ananitumia tu meseji vipi mtoto amenielewa!
namwambia hapa kazi imebaki wewe tu!
ananiambia nenda lodge lipia vyumba 2 kimoja andika jina langu kingine jina la demu.
afu nimsubirie anakuja anaingia kwa dem akimaliza anaingia chumbani kwake anaoga tunaondoka.sijui kwanini alikuwa anafanya vile
 
Kweli. Hainingii akilini mtu kujiua sababu ya mchepuko..huyo alishafanywa zezeta maskini! MICHEPUKO SIO DILI
 
Kweli. Hainingii akilini mtu kujiua sababu ya mchepuko..huyo alishafanywa zezeta maskini! MICHEPUKO SIO DILI
Huwa sipendi kukumbuka hili jambo kabisa tena nikimuona yule mamaa anavyopeta sasahivi na majamaa wengine!ukienda klabu yupo kila kiwanja humkosi huwa tunatazamana tuu lakini nahisi akiniona raha inampotea!
anyway.RIP dingi
 
Mbele yake nyuma yetu, alazwe mahala panapostahili.
Poleni sana wanafamilia
 
Hivi mtu Aliejiuwa huwa anaombewa or kuambiwa Rest in Peace....!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…