TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Wasalaam,

Kwa akili zangu nazozijua mimi, hakuna haja ya kumlaumu huyu ndugu yetu (maana ukisoma maoni mengi mitandaoni juu ya watu waliojiua akiwepo ndugu yetu Yona Fares Maro kwa sababu ya MAPENZI mengi ni hasi ya kulaumu) KIWANGO KIKUBWA SANA, HAPANA sio sahihi sana hasa kama huna "experience" ya haya mambo ya kuumizwa na kuumizana, jambo la kulaumu ni 1, ninajua alikuwa ana nafasi ya kuokoa uhai wake ila alikosa "MTU WA KARIBU, ALIKOSA USHAURI MAHUSUSI, ALIKOSA WAPI PA KUPUMULIA SUMU ZA MOYO WAKE , JUST ALIBAKI AKISEMEZANA NA MOYO WAKE WENYE MACHUNGU( YA KUONA MWENZA WAKE ANAMSALITI) THEN AKAAFIKIANA NA MOYO WAKE KUWA DAWA NI KUJIUA.

Marehemu Maro aliona hilo ni jibu sahihi kabisa, ni kwanini tusimlaumu?? Ni kwasababu hata wewe yanaweza kukuta , tena wewe uliyekuwa unamlaumu kwa 100%, yatakukuta endapo utakosa ushauri, utakosa mtu wa kumwambia machungu yako basi tarajia maamuzi HASI.

Pia ukikosa kuambiwa UKWELI KUHUSU UHALISIA WA NDOA/MAPENZI basi YATAKUSONONESHA huenda ukachukua uamuzi hatari zaidi kuliko hata huu wa Yona.

Kama upo kwenye mahusiano ya dhati, huenda kuna siku yakapinduka(MUNGU AEPUSHE MBALI) Je umejipanga vipi kuhimili mshindo huo?? NI LAZIMA TUAMBIWE UKWELI KUHUSU MAPENZI , NI LAZIMA TUJUE MAPENZI NI JAMBO LA HATARI, UKISOMA BIBLIA KWENYE WIMBO ULIO BORA NGUVU YA MAPENZI INAFANANISHWA NA MAUTI .

Kanuni ya maisha kwenye kila eneo ni rahisi sana, achilia mbali MAPENZI , kama upo kwa mtu unaemtegemea sana labda kimasomo , kukulisha, kukuvalisha n.k ujue kuna siku ATATWALIWA( MUNGU AEPUSHE MBALI) Kama una kazi nzuri ,biashara nzuri (MUNGU AEPUSHE MBALI) kuna siku utaamka na habari zingine. Sasa tatizo linakuwa ni namna gani umejipanga kuhimili huo mshtuko...Tujifunze kuwa "TUNAPOKULA MUWA BASI TUTAKUTANA NA FUNDO. HAUWEZI KULA MUWA KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO BILA KUKUTANA NA FUNDO"

Wanaojiua watufundishe kuwa walikuwa wana nafasi ya kuokoa maisha sasa walikosa ni wapi pa kuanzia, na kuona KUJIUA NDIO SULUHISHO PEKEE.

Je hapo ulipo una marafiki wa aina gani ambao wanaweza kukuokoa kwenye nyakati ambazo umebakiza uamuzi mmoja pekee wa kukata tamaa ya kuishi?? Au wakula nao bata pekee??

MUNGU AWAWEKE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOJIUA KWA SABABU YA KUKATA TAMAA YA KUISHI.
 
Mkuu sisi watanzania au wanadamu ni wanafiki sana wengi huj kutoa ushuhuda baada ya tukio fulani na mtu kufikia kiwango cha mwisho cha kujitetea ndipo utawona wanakuja na wengine kujifanya wanajua zaidi kuliko wewe mlegwa..

Mfano mzuri hata nusu saa haijapita kuna mdau mmoja hapa ameleta maada isemayo msaada wa kuokoa Ndoa ya Huyu Jamaa , ukiangalia baadhi ya michango unaweza kusema tumelogwa na nani? na bado nakubaliana na Trump kabisa Juu ya uwezo wetu wa kupambanunua mambo yanayotuzunguka.. Leo hii kuna Mdao kasema aliyaona mateso yote aliyokuwa anayapitia huyo Marehemu, lakini ukimuuliza alichukuwa hatua gani ya kuokoa au hata kusema neno moja ambalo leo hii lingekuwa muokozi kwa marehemu?
Kifupi tupo humu JF tulio wengi ni wanafiki na tunafurahi Mwenzio akipatwa na matatizo na ukishaona ameptwa na matatizo kama alikuwa rafiki yako hata akikupigia huwezi kupokea tena..
 
IZI TABIA ZA KUJULIA MAPENZI UKUBWANI NI TATIZO..VIJANA SIKUHIZI WANAANGALIA TAMTHILIA SANA ZINAWADANGANYA SANA KUHUSU MAPENZI.

MNACHOTAKIWA MFAHAMU NI KUWA KWA DUNIA YA SASA MWANAMKE NI CHOMBO CHA BURUDANI TU..UKIZIDISHA YAANI KUMFANYA ZAIDI YA CHOMBO NA UKATAKA KUMTUMIA KAMA RAFIKI AU NDUGU LAZIMA UTAKUFA TU!!!!

MWANAMKE WA KI LEO NI JINI, NYOKA, NA NDIE FIMBO YA IBILISI..KUNA WANAOPATA STROKE, PRESHA NA VILEMA SABABU WALIMGEUZA MWANAMKE RAFIKI^/NDUGU.

MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE UNAKITUMIA PALE UNAPOHITAJ BURUDANI FULANI, UNAWEZA UKABADILISHA UTAKAVYO SABABU LADHA YA STAREHE UBADILIKA..UKIFATA HII KANUNU UTAISHI KWA RAHA NA UTAJIRI UTAKUWA NAO KARIBU.
 
Mkuu unaongea as if wanaoumia duniani ni wanaume tu! Tukubali ukweli kuwa wanawake na wanaume wote wanaumizwa sana na mapenzi. Mapenzi hayajawahi kuwa na mjanja.
 
hahahaha nimecheka had machozi hakiyanani dah ! aise ht mie kujiua kisa mapenzi sijawah fikiria !aku !mlivyo weng hvyo !
Teheheh aliyekudanganya tupo wengi, mwambie akarudie takwimu yake upya.
Na tunapoeleka mtangombania stick mpaka basi, na ndivyo hivyo wanaume wazembe watakavyozidi kudondoka maana mapenzi ndio yatakuwa yanawaondoa kama kuku wenye kideli. Mwanamme anaweza kujiua hata kwa penzi la mchepuko. Hapo kuna uzima tena? Ngoja wa kunywa tunywe sana, wakuvuta tuvute sana, kwani kuna vifaraja flani huwa vipo kule japo ni vya muda pia.
 
IZI TABIA ZA KUJULIA MAPENZI UKUBWANI NI TATIZO..VIJANA SIKUHIZI WANAANGALIA TAMTHILIA SANA ZINAWADANGANYA SANA KUHUSU MAPENZI.

MNACHOTAKIWA MFAHAMU NI KUWA KWA DUNIA YA SASA MWANAMKE NI CHOMBO CHA BURUDANI TU..UKIZIDISHA YAANI KUMFANYA ZAIDI YA CHOMBO NA UKATAKA KUMTUMIA KAMA RAFIKI AU NDUGU LAZIMA UTAKUFA TU!!!!

MWANAMKE WA KI LEO NI JINI, NYOKA, NA NDIE FIMBO YA IBILISI..KUNA WANAOPATA STROKE, PRESHA NA VILEMA SABABU WALIMGEUZA MWANAMKE RAFIKI^/NDUGU.

MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE UNAKITUMIA PALE UNAPOHITAJ BURUDANI FULANI, UNAWEZA UKABADILISHA UTAKAVYO SABABU LADHA YA STAREHE UBADILIKA..UKIFATA HII KANUNU UTAISHI KWA RAHA NA UTAJIRI UTAKUWA NAO KARIBU.
nimecheka jaman
 
Teheheh aliyekudanganya tupo wengi, mwambie akarudie takwimu yake upya.
Na tunapoeleka mtangombania stick mpaka basi, na ndivyo hivyo wanaume wazembe watakavyozidi kudondoka maana mapenzi ndio yatakuwa yanawaondoa kama kuku wenye kideli. Mwanamme anaweza kujiua hata kwa penzi la mchepuko. Hapo kuna uzima tena? Ngoja wa kunywa tunywe sana, wakuvuta tuvute sana, kwani kuna vifaraja flani huwa vipo kule japo ni vya muda pia.

mhhhh !kumbe mnapataga faraja mkivuta marijuana? bas vuteni tutakutana mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom