TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Mkuu unaongea as if wanaoumia duniani ni wanaume tu! Tukubali ukweli kuwa wanawake na wanaume wote wanaumizwa sana na mapenzi. Mapenzi hayajawahi kuwa na mjanja.
Historia imejaa stori watu watu mashuhuri, wafalme, koo na familia zilizoharibiwa na mwanamke

Wewe ni mwanamke najua utakuwa na kitu unatetea..lakini ukweli huishi milele na kwa dunia ya sasa inadhihirika zaidi kuwa mwanamke ni ndugu wa karibu wa shetani..ndiye anaetumiwa na shteni kuleta maangamizi na juzi mwanamke alitaka kuingiza taifa la zimbabwe kwenye machafuko.

watu wenye mafanikik na maisha marefu wanafanana ktk jambo moja kumfanya mwanamke chombo cha starehe tu.
 
Usichojua ni kuwa hakuna sehemu imeandikwa historia chanya ya mwanamke. Nachelea kusema waandika historia /waliopata elimu mwanzo ni wanaume.

Zimbabwe come on! Hata huyo along'ang'ania madaraka miaka nenda rudi ni mwanamke?
 
mhhhh !kumbe mnapataga faraja mkivuta marijuana? bas vuteni tutakutana mbele kwa mbele
Haya maisha ya leo upate Stress ya kuezeka au kufanya finishing, bado tu ubebe na mzigo wa kurambiwa. Lord av mercy.
 
baba angu mdogo alikuwa na mchepuko na aliufungulia bonge la salun la kisasa!lakini dem alimkuta ni mdangaji na jamaa akawa anafosi sana kumtuliza kilichomtokea alijiua kabla hata jua kuchomoza!
Alijiuaje??
Alikuwa na mchepuko siku hiyo hadi saa6 usiku kisha wakaagana maana bamdogo alikuwa na wife na watoto wadogo 2.
Kufika hom rafk yake anampigia anamwambia yaani we umetoka tu chumbani jamaa lingine limeingia kumshughulikia demu wako!
Jamaa akaenda kweli akakuta mashine inaungurumishwa ndani na kelele za kutosha!
Akavamia akakuta kweli mzigo wake unaliwa!
Ndio hivyo kwa hasira hasara akaenda kunywa ngao 3.akaacha mke mzuri na watoto wadogo wakimhitaji
 
Haya maisha ya leo upate Stress ya kuezeka au kufanya finishing, bado tu ubebe na mzigo wa kurambiwa. Lord av mercy.

halelujah! na finishing inavyokula sasa pesa? leo hii uanze fatilia mkeo? inahu
 
Wanaume tukija kushare machungu yetu humu wanawake wanasema wanaume wameisha siku hizi, kila mwanaune analalamika mkewe shida...haya sasa tunaamua kujinyonga au kunyonga mke na mtoto[emoji23][emoji23][emoji23]
 
halelujah! na finishing inavyokula sasa pesa? leo hii uanze fatilia mkeo? inahu
[emoji23] [emoji23], ila naona kwetu wanaume kuna shida mahali sio bure.
Na kuna generation flani hapa katikati around 80's kuja mpaka 90's ndio inaongoza kwa kujiondoa ufahamu kuliko viumbe wote. Sijiui wazazi walikosea wapi, mpaka hii impact inatokea.
 
Usichojua ni kuwa hakuna sehemu imeandikwa historia chanya ya mwanamke. Nachelea kusema waandika historia /waliopata elimu mwanzo ni wanaume.

Zimbabwe come on! Hata huyo along'ang'ania madaraka miaka nenda rudi ni mwanamke?

Naelewa ww ni mwanamke na kwa vyovyote vile una interest ktk hili.

Na kwa sababu hiyo, mpaka utakapoanza kulitizama jambo hili kwa jicho huru na la kitaaluma ndipo ukweli tutaelewana

Infact nafahamu kabisa kuwa ata wewe kwenye ukoo wenu lazima una ndugu aliepatwa na matatizo yaliyoletwa na hiki kiumbe kinaitwa mwanamke.
 
[emoji23] [emoji23], ila naona kwetu wanaume kuna shida mahali sio bure.
Na kuna generation flani hapa katikati around 80's kuja mpaka 90's ndio inaongoza kwa kujiondoa ufahamu kuliko viumbe wote. Sijiui wazazi walikosea wapi, mpaka hii impact inatokea.

hhahaha ! maskini !nawaonea huruma !ukweli na siye tunapenda kama mazwazwa !na tukiamua kuwatenda huwa hatubahatishi km nyie
 
IZI TABIA ZA KUJULIA MAPENZI UKUBWANI NI TATIZO..VIJANA SIKUHIZI WANAANGALIA TAMTHILIA SANA ZINAWADANGANYA SANA KUHUSU MAPENZI.

MNACHOTAKIWA MFAHAMU NI KUWA KWA DUNIA YA SASA MWANAMKE NI CHOMBO CHA BURUDANI TU..UKIZIDISHA YAANI KUMFANYA ZAIDI YA CHOMBO NA UKATAKA KUMTUMIA KAMA RAFIKI AU NDUGU LAZIMA UTAKUFA TU!!!!

MWANAMKE WA KI LEO NI JINI, NYOKA, NA NDIE FIMBO YA IBILISI..KUNA WANAOPATA STROKE, PRESHA NA VILEMA SABABU WALIMGEUZA MWANAMKE RAFIKI^/NDUGU.

MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE UNAKITUMIA PALE UNAPOHITAJ BURUDANI FULANI, UNAWEZA UKABADILISHA UTAKAVYO SABABU LADHA YA STAREHE UBADILIKA..UKIFATA HII KANUNU UTAISHI KWA RAHA NA UTAJIRI UTAKUWA NAO KARIBU.
La Saba B utawajua tu..
 
Ushauri

Ukiishakuwa na wajibu na majukumu ya kifamilia, kikazi au hata kwenye jamii ni lazima utakutana na stress za aina mbalimbali hivyo ni vyema kuwa na constructive way out for any problems/stress.

Wayout ziko nyingi sana wala hazihesabiki. Njia rahisi ya kuzipata hizo wayout ni kuwa na marafiki dedicated unaowaamini ambao watakushauri constructively wakati shida au stress kama hizo zikikupata.

Kikubwa ni kufight for peace zaidi ya vitu vyote na hata maandiko matakatifu katika 1 Petro 3: 10 na 11 inasema "Atakaye kupenda maisha na kuona siku njema za usoni, ............ atafute amani tena aifuate sana.

Marehemu kwa sababu ya upole wake alijibebea mzigo mpaka ukamlemea
 
Unaongea Utafikiri Huna ubongo.
 
Ushauri

Ukiishakuwa na wajibu na majukumu ya kifamilia, kikazi au hata kwenye jamii ni lazima utakutana na stress za aina mbalimbali hivyo ni vyema kuwa na constructive way out for any problems/stress.

Wayout ziko nyingi sana wala hazihesabiki. Njia rahisi ya kuzipata hizo wayout ni kuwa na marafiki dedicated unaowaamini ambao watakushauri constructively wakati shida au stress kama hizo zikikupata.

Kikubwa ni kufight for peace zaidi ya vitu vyote na hata maandiko matakatifu katika 1 Petro 3: 10 na 11 inasema "Atakaye kupenda maisha na kuona siku njema za usoni, ............ atafute amani tena aifuate sana.

Marehemu kwa sababu ya upole wake alijibebea mzigo mpaka ukamlemea
 
Naelewa ww ni mwanamke na kwa vyovyote vile una interest ktk hili.

Na kwa sababu hiyo, mpaka utakapoanza kulitizama jambo hili kwa jicho huru na la kitaaluma ndipo ukweli tutaelewana

Infact nafahamu kabisa kuwa ata wewe kwenye ukoo wenu lazima una ndugu aliepatwa na matatizo yaliyoletwa na hiki kiumbe kinaitwa mwanamke.
Mimi ni mwanamke nina interest katika hili, huoni kuwa nawe ni mwanaume unaweza kuwa na interest katika hili?

Mhh haya! Naona tuishie hapo.
 
Back
Top Bottom