Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hivi vizazi vya viazi mviringo ndio kabisa.
Kuna familia tumetoka kuzika majuzi huko Bunda kanda ya ziwa. Mwanaume kakwara wote, yani kuanzia mke wake wa ndoa mtoto wa miezi 4 na shemeji yake, afu yeye akaenda baadae kujisalimisha polisi. Kisa mke karuka zizi na akabebea huko huko ujauzito. So jamaa akashtuka kuwa hiyo maniaje sio ya kwake, alishika jembe kaprone wote as if alikuwa anapalilia magugu.hahaha na vya mayai ya kisasa !ptu
Kuna familia tumetoka kuzika majuzi huko Bunda kanda ya ziwa. Mwanaume kakwara wote, yani kuanzia mke wake wa ndoa mtoto wa miezi 4 na shemeji yake, afu yeye akaenda baadae kujisalimisha polisi. Kisa mke karuka zizi na akabebea huko huko ujauzito. So jamaa akashtuka kuwa hiyo maniaje sio ya kwake, alishika jembe kaprone wote as if alikuwa anapalilia magugu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya mate mnayatemeaga humu kwenye threads, ukute wallet ina pumua kama kiboko yupo majini, mnatamani kuturamba hadi vipumulio, na sisi hapo ndio tunaona daah Dem si ndio huyu aisee.hahaha na vya mayai ya kisasa !ptu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya mate mnayatemeaga humu kwenye threads, ukute wallet ina pumua kama kiboko yupo majini, mnatamani kuturamba hadi vipumulio, na sisi hapo ndio tunaona daah Dem si ndio huyu aisee.
Ndio hicho nilichokuwa nakuambia kuwa sasa hivi, stick zitangombaniwa sana, na ndivyo hivyo hivyo wenye stick wanavyozidi kupungua. Maana wanaume wenyewe somo la uvumilivu tumeanza ku score zero. Then want next kama sio kuongeza uchomekaji wa misalaba chini ya ardhi.niliskia kwenye heka heka alafu maskini ni wasabato !dah yalimfika hapaa ! haka katabia ka wanawake kuzaa nje kamezidi jaman !mbaya sana ! naogopa kukemea sijui ya kesho !
Ndio hicho nilichokuwa nakuambia kuwa sasa hivi, stick zitangombaniwa sana, na ndivyo hivyo hivyo wenye stick wanavyozidi kupungua. Maana wanaume wenyewe somo la uvumilivu tumeanza ku score zero. Then want next kama sio kuongeza uchomekaji wa misalaba chini ya ardhi.
Ni kwel mkuu hawa wanawake wanaishi kwa tamaaa kwan wanategemeaa vikubwa kutoka kwa wapnz wao kuliko uhalisia was mambo....bora kuwa bachelor tu.....so hopelessMwanamke ni kiumbe kizaliwacha na shahawa za mwanaume ila siyo kumbe kamwe cha kukitegemea na kukiamini kwa asilimia zote.. Kipende kadri ya uwezo wako ila usikiamini kamwe kwa kuwa Ubongo wa hiki Kiumbe kinawaza vitu vingi ambavyo kati ya Vitu hivyo vyote asilimia kubwa ni Tamaa tuuuuuuuuuuuuuuuuuu hakuna hata kimoja ambacho siyo cha Tamaa..
Sasa Tamaa ikizidi uwezo matokeo yake ni Makubwa... Na hata hizo Ndoa au Mahusiano yanayoyumba ukifuatilia chanco kikubwa ni Tamaa ambayo Mwanamke anataka kutimiziwa na Mwanaume kila Muda..... Mwanamke ni kiumbe kinachoishi na Kuongozwa na Matamanio Muda wote
Kuna kuamka hapo na hiki kizazi cha kina walper, jiggy sijui mananilii gani huko., na hizi smart phone.AMKENI
Sawa lakini kumbuka kuna wanawake walioumizwa na wanaoendelea kuumizwa kikatili!IZI TABIA ZA KUJULIA MAPENZI UKUBWANI NI TATIZO..VIJANA SIKUHIZI WANAANGALIA TAMTHILIA SANA ZINAWADANGANYA SANA KUHUSU MAPENZI.
MNACHOTAKIWA MFAHAMU NI KUWA KWA DUNIA YA SASA MWANAMKE NI CHOMBO CHA BURUDANI TU..UKIZIDISHA YAANI KUMFANYA ZAIDI YA CHOMBO NA UKATAKA KUMTUMIA KAMA RAFIKI AU NDUGU LAZIMA UTAKUFA TU!!!!
MWANAMKE WA KI LEO NI JINI, NYOKA, NA NDIE FIMBO YA IBILISI..KUNA WANAOPATA STROKE, PRESHA NA VILEMA SABABU WALIMGEUZA MWANAMKE RAFIKI^/NDUGU.
MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE UNAKITUMIA PALE UNAPOHITAJ BURUDANI FULANI, UNAWEZA UKABADILISHA UTAKAVYO SABABU LADHA YA STAREHE UBADILIKA..UKIFATA HII KANUNU UTAISHI KWA RAHA NA UTAJIRI UTAKUWA NAO KARIBU.
Sio mgeni kwenye mapenzi ila kujiua kwa ajili ya mwanamke ni bora nikajiunge Boko Harambaba angu mdogo alikuwa na mchepuko na aliufungulia bonge la salun la kisasa!lakini dem alimkuta ni mdangaji na jamaa akawa anafosi sana kumtuliza kilichomtokea alijiua kabla hata jua kuchomoza!
Alijiuaje??
Alikuwa na mchepuko siku hiyo hadi saa6 usiku kisha wakaagana maana bamdogo alikuwa na wife na watoto wadogo 2.
Kufika hom rafk yake anampigia anamwambia yaani we umetoka tu chumbani jamaa lingine limeingia kumshughulikia demu wako!
Jamaa akaenda kweli akakuta mashine inaungurumishwa ndani na kelele za kutosha!
Akavamia akakuta kweli mzigo wake unaliwa!
Ndio hivyo kwa hasira hasara akaenda kunywa ngao 3.akaacha mke mzuri na watoto wadogo wakimhitaji
Invisible
Paw
Moderator
JamiiForums
Je kuna utaratibu wowote wa michango kama mkono wa pole toka JF? Itapendeza kama tunaweza kufanya hivyo.... Mimi tayari nina elfu kumi tu mkononi
DuuuhSio mgeni kwenye mapenzi ila kujiua kwa ajili ya mwanamke ni bora nikajiunge Boko Haram
Hii comment imenichekesha kwa kweli,mchepuko umeua mtu.baba angu mdogo alikuwa na mchepuko na aliufungulia bonge la salun la kisasa!lakini dem alimkuta ni mdangaji na jamaa akawa anafosi sana kumtuliza kilichomtokea alijiua kabla hata jua kuchomoza!
Alijiuaje??
Alikuwa na mchepuko siku hiyo hadi saa6 usiku kisha wakaagana maana bamdogo alikuwa na wife na watoto wadogo 2.
Kufika hom rafk yake anampigia anamwambia yaani we umetoka tu chumbani jamaa lingine limeingia kumshughulikia demu wako!
Jamaa akaenda kweli akakuta mashine inaungurumishwa ndani na kelele za kutosha!
Akavamia akakuta kweli mzigo wake unaliwa!
Ndio hivyo kwa hasira hasara akaenda kunywa ngao 3.akaacha mke mzuri na watoto wadogo wakimhitaji