Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Hapana, sijawekeza. Unajua miaka ile ya 1996 kurudi nyuma kiukweli muziki wa dansi Tanzania( vijana jazz, ddc mlimani park, bimalee, washirika, ottu/juwata-msondo, maquis, na bendi nyingine) zilikuwa peak sana kimuzingi, na kwa kweli wakongo nao wakikuwa ni moto wa kuotea mbali kimuziki, Bongo flavor haikuwepo, kwa hiyo mpango mzima ilikuwa ni muzik wa dansi toka Tanzania au Zaire( Congo DR ya sasa).
beaucoup!
tinna cute operesheni kimbunga inakuhusu:busuozali malamu?
yuko nchi gan uyu mwanamama mauno wa enzi hzo!...afu madame umeadimika kule kwe2 ukubwani!
Ee, nazali malamu! Ndenge nini?ozali malamu?
Yondo Sister hajafa.
Bado yuko hai na mtoto wake yule mmoja na pekee wa kike tunakaa nae huku Kinondoni Manyanya.
Jumapili iliyopita alikuja kumtembelea mwanae, ila amezeeka zeeka.
ozali malamu?
Naomba namba yake.Hahaha!
Kweli tupu jamani.
Mwanae tunakaa nae hapa Manyanya mtaa wa Mateja, Wibu nyumba no. 216.
Namkubali huyo jamaa, hata katika wimbo Wapi Yo ameufanyia heshima ya aina yake lakini Diblo Dibala ni mchawi halisi wa Guitar. Ukisikiliza/ukiangali kibao cha Matchatcha Laisser Paisser
yupo hai mkuu. zamani ndio walivumisha amekufa si unajua wabongo
Ee, nazali malamu! Ndenge nini?
kitoko,ndenge nini? nipe darasa kwenye lingala ili ning'oe watoto wazuri wa kikongo mon frere.
Nalog off
tinna cute operesheni kimbunga inakuhusu:busu
Umeanza majungu hahahaah!
yuko nchi gan uyu mwanamama mauno wa enzi hzo!...afu madame umeadimika kule kwe2 ukubwani!