YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

Nenda kwenye blog za umbea 😂
 
Remix imechafuliwa ,orijino ipo vizuri ndo maana copycat wetu alishindwa kubuni video nzima na kutumia 98% ya orijino yope.

Mnasifia copy and paste na bado ni REMIX tu. Tena jina linaanza innos ft domo

#ikiwaumamezeniwembe
Yope remix ni mali ya Diamond, japo kashirikishwa.
Ukiingia kwenye YouTube aacount ya Innos huwezi kuikuta hii Yope remix, ila kwenye account ya Diamond ipo
 
Remix imechafuliwa ,orijino ipo vizuri ndo maana copycat wetu alishindwa kubuni video nzima na kutumia 98% ya orijino yope.

Mnasifia copy and paste na bado ni REMIX tu. Tena jina linaanza innos ft domo

#ikiwaumamezeniwembe
USITUFOKEE sasa
 
Una kipi ambacho hujawahi kupinga toka kwa mondi ? Haitushtui !.
 
Kijana anafanya vizuri na hachuji. Labda tumuulize tu Mr.yooh huko uwanjani alikokimbilia kunasemaje
 
Remix imechafuliwa ,orijino ipo vizuri ndo maana copycat wetu alishindwa kubuni video nzima na kutumia 98% ya orijino yope.

Mnasifia copy and paste na bado ni REMIX tu. Tena jina linaanza innos ft domo

#ikiwaumamezeniwembe
ACHA KUFOKA TAFUTA NDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…