YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

Yope remix ni mali ya Diamond, japo kashirikishwa.
Ukiingia kwenye YouTube aacount ya Innos huwezi kuikuta hii Yope remix, ila kwenye account ya Diamond ipo
Utopolo huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]akili nyingine bwana
 
Yope remix ni mali ya Diamond, japo kashirikishwa.
Ukiingia kwenye YouTube aacount ya Innos huwezi kuikuta hii Yope remix, ila kwenye account ya Diamond ipo
Hata kama kutokujua lakini hapa umepwaya
Unajuaje je kama walikubaliana waiweke kwenye channel ya mondi maana ana subscribers wengi ..

Yope ni ya innos
 
yope remix inawtoa kamasi kweli wajinga, hata kama si ya diamond bt uwepo wake ndo umeipaisha vile ukitaka kuamini angalia views wa yope OG ndo utajua kua mondi ni next level
 
Sema me nawashangaaga sana wale jamaa ngoma zao zinafikisha billion views aiseeee
 
Yope remix ni mali ya Diamond, japo kashirikishwa.
Ukiingia kwenye YouTube aacount ya Innos huwezi kuikuta hii Yope remix, ila kwenye account ya Diamond ipo
Yope remix ni mali ya Diamond japo kashirikishwa?

Yani unakuwa na track wewe kisha unashirikishwa[emoji23].
Basi hata Waka Waka ni ya Rick Ross japo kashirikishwa na Diamond.
 
Unajua mwezi wa 6, hii ngoma ilikuwa na views milioni 72, nikajua mpaka mwezi wa 12 itakuwa imefika milioni 100, sasa nashangaa hata Mwezi wa 8 haujafika nusu tayari milioni 106. Hatari sana. Yaani ndani ya miezi miwili imegonga views karibia milioni 34, sio mchezo . Hongera nyingi sana kwao.
 
Back
Top Bottom