YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

Most popular of the videos is the song 'Yope remix' where he featured Innos' B from Congo, which has so far gained some 106million views today. Diamond platnumz mimi kama shabiki yako mkubwa ninakupa pongezi kubwa kwa mafanikio haya.
Harmonise amesema tusipime ubora wa kazi kwa kuangalia views za you tube.
 
Unajua mwezi wa 6, hii ngoma ilikuwa na views milioni 72, nikajua mpaka mwezi wa 12 itakuwa imefika milioni 100, sasa nashangaa hata Mwezi wa 8 haujafika nusu tayari milioni 106. Hatari sana. Yaani ndani ya miezi miwili imegonga views karibia milioni 34, sio mchezo . Hongera nyingi sana kwao.
Mkuuu huo ni uongo yope toka mwez wa 4 ilikuwa imefika 70 tena kile kipindi korona ndio inakolea ilikua imefika 70 na apo kama ni hivyo bac mwez juni lazima ilikuwa na zaidi ya 75+ kwa hilo nabisha mkuu labda uje na ushahidi
 
Ingia kwenye account zao za YouTube ujiridhishe, Jifunze kufanya utafiti kabla ya kupinga bwana mdogo
Kwa hiyo kupost kwenye youtube chanel ya mond ndio yake???? Mbona nyimbo nyingi tu hilo linatokea
 
Remix imechafuliwa ,orijino ipo vizuri ndo maana copycat wetu alishindwa kubuni video nzima na kutumia 98% ya orijino yope.

Mnasifia copy and paste na bado ni REMIX tu. Tena jina linaanza innos ft domo

#ikiwaumamezeniwembe
Yope ni ya Diamond hayo mengine utajua wewe na nduguzako.
 
Most popular of the videos is the song 'Yope remix' where he featured Innos' B from Congo, which has so far gained some 106million views today. Diamond platnumz mimi kama shabiki yako mkubwa ninakupa pongezi kubwa kwa mafanikio haya.
Mimi mwenyeweleo nimeingia youtube nimeshangaa kweli...[emoji44][emoji44]
 
Mkuuu huo ni uongo yope toka mwez wa 4 ilikuwa imefika 70 tena kile kipindi korona ndio inakolea ilikua imefika 70 na apo kama ni hivyo bac mwez juni lazima ilikuwa na zaidi ya 75+ kwa hilo nabisha mkuu labda uje na ushahidi
Ushahidi unakusaidia nini!? Unalipwa kubishana? Kabishane kwenye vijiwe vya kahawa huko. Mimi nimeandika ninachokifahamu.
 
Ushahidi unakusaidia nini!? Unalipwa kubishana? Kabishane kwenye vijiwe vya kahawa huko. Mimi nimeandika ninachokifahamu.
Hahahah unataka utudanganyw then tusikubushie acha ushamba mkuu kila kitu kinaenda na facts[emoji1787]
 
Hahahah unataka utudanganyw then tusikubushie acha ushamba mkuu kila kitu kinaenda na facts[emoji1787]
Nikudanganye wewe na nani!? Wewe unaweza kuniletea ushahidi kuwa ilikuwa imefika views milioni 70 by April? Kila kitu kinaenda na facts!? Unaamini Mungu yupo!? Kama huamini poa ila kama una amini nipe ushahidi kuwa yupo.
 
Back
Top Bottom