ACHA KUFOKA TAFUTA NDOA
Povu.
Utopolo huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]akili nyingine bwanaYope remix ni mali ya Diamond, japo kashirikishwa.
Ukiingia kwenye YouTube aacount ya Innos huwezi kuikuta hii Yope remix, ila kwenye account ya Diamond ipo
Utopolo huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]akili nyingine bwana
Hata kama kutokujua lakini hapa umepwayaYope remix ni mali ya Diamond, japo kashirikishwa.
Ukiingia kwenye YouTube aacount ya Innos huwezi kuikuta hii Yope remix, ila kwenye account ya Diamond ipo
UtotoHata alikiba anazo nyingi tu zenye views hao
SEMA aliwaambia YouTube wasitoe data zake
mbona hujibu swali? unaendeshwa na hisia za kijumbe jumbe..Yope ni ya innos full stop. Achen wizi kisha mnajaza views kupamba ujambazi wenu
Yope remix ni mali ya Diamond japo kashirikishwa?Yope remix ni mali ya Diamond, japo kashirikishwa.
Ukiingia kwenye YouTube aacount ya Innos huwezi kuikuta hii Yope remix, ila kwenye account ya Diamond ipo
Wewe ni hater lialiaRemix imechafuliwa ,orijino ipo vizuri ndo maana copycat wetu alishindwa kubuni video nzima na kutumia 98% ya orijino yope.
Mnasifia copy and paste na bado ni REMIX tu. Tena jina linaanza innos ft domo
#ikiwaumamezeniwembe
Yna kama ynaaaHongera zimfikie mond..
[emoji23][emoji23][emoji23] Hi haters[emoji57][emoji57]
ππYna kama ynaaa
Na anastahili heshima yake shida ya watz hatupendi kuambiwa/kusikia ukweli.Diamond ni alama moja wapo ya taifa