Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Harmonise amesema tusipime ubora wa kazi kwa kuangalia views za you tube.Most popular of the videos is the song 'Yope remix' where he featured Innos' B from Congo, which has so far gained some 106million views today. Diamond platnumz mimi kama shabiki yako mkubwa ninakupa pongezi kubwa kwa mafanikio haya.
Wewe utakuwa huna akili timamuYope ni ya innos full stop. Achen wizi kisha mnajaza views kupamba ujambazi wenu
Analindwa na sheria zipi?Diamond ni alama moja wapo ya taifa
Mkuuu huo ni uongo yope toka mwez wa 4 ilikuwa imefika 70 tena kile kipindi korona ndio inakolea ilikua imefika 70 na apo kama ni hivyo bac mwez juni lazima ilikuwa na zaidi ya 75+ kwa hilo nabisha mkuu labda uje na ushahidiUnajua mwezi wa 6, hii ngoma ilikuwa na views milioni 72, nikajua mpaka mwezi wa 12 itakuwa imefika milioni 100, sasa nashangaa hata Mwezi wa 8 haujafika nusu tayari milioni 106. Hatari sana. Yaani ndani ya miezi miwili imegonga views karibia milioni 34, sio mchezo . Hongera nyingi sana kwao.
Kwa hiyo kupost kwenye youtube chanel ya mond ndio yake???? Mbona nyimbo nyingi tu hilo linatokeaIngia kwenye account zao za YouTube ujiridhishe, Jifunze kufanya utafiti kabla ya kupinga bwana mdogo
Yope ni ya Diamond hayo mengine utajua wewe na nduguzako.Remix imechafuliwa ,orijino ipo vizuri ndo maana copycat wetu alishindwa kubuni video nzima na kutumia 98% ya orijino yope.
Mnasifia copy and paste na bado ni REMIX tu. Tena jina linaanza innos ft domo
#ikiwaumamezeniwembe
Mimi mwenyeweleo nimeingia youtube nimeshangaa kweli...[emoji44][emoji44]Most popular of the videos is the song 'Yope remix' where he featured Innos' B from Congo, which has so far gained some 106million views today. Diamond platnumz mimi kama shabiki yako mkubwa ninakupa pongezi kubwa kwa mafanikio haya.
Ushahidi unakusaidia nini!? Unalipwa kubishana? Kabishane kwenye vijiwe vya kahawa huko. Mimi nimeandika ninachokifahamu.Mkuuu huo ni uongo yope toka mwez wa 4 ilikuwa imefika 70 tena kile kipindi korona ndio inakolea ilikua imefika 70 na apo kama ni hivyo bac mwez juni lazima ilikuwa na zaidi ya 75+ kwa hilo nabisha mkuu labda uje na ushahidi
kwani alikwambia Hana ndoa? Au ana shida ya ndoa?ACHA KUFOKA TAFUTA NDOA
. Inakuwaje of siyo yake afu ramex ndo yake?Yope ni ya Diamond hayo mengine utajua wewe na nduguzako.
Zote ni zake.. Inakuwaje of siyo yake afu ramex ndo yake?
Hahahah unataka utudanganyw then tusikubushie acha ushamba mkuu kila kitu kinaenda na facts[emoji1787]Ushahidi unakusaidia nini!? Unalipwa kubishana? Kabishane kwenye vijiwe vya kahawa huko. Mimi nimeandika ninachokifahamu.
Alikwambia hivo Wewe?Zote ni zake.
Yope za mond utaki pigana.Alikwambia hivo Wewe?
Alafu mkuu nimekupenda naomba email address yakoYope za mond utaki pigana.
DuuAlafu mkuu nimekupenda naomba email address yako
Nikudanganye wewe na nani!? Wewe unaweza kuniletea ushahidi kuwa ilikuwa imefika views milioni 70 by April? Kila kitu kinaenda na facts!? Unaamini Mungu yupo!? Kama huamini poa ila kama una amini nipe ushahidi kuwa yupo.Hahahah unataka utudanganyw then tusikubushie acha ushamba mkuu kila kitu kinaenda na facts[emoji1787]
Mimi mond
Bro unajua Yope zote zako.Mimi mond