Yote kuhusu D.S.E: Kampuni zilizotengeneza faida kubwa 2020-2024

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,764
Reaction score
3,230
Moja ya kipengele muhimu cha kuangalia kabla ya kununua Hisa za kampuni flani,ni Mapato ya kampuni.
Kampuni inaweza ikawa ina thamani kubwa labda kutokana na muhemko wa soko katika hiko kipindi lakini unapokuja kwenye biashara,ni kampuni nyengine ndiyo inayoongoza kwa kuzalisha mapato makubwa

Ifuatayo ni chati za mapato ya kampuni yaliyopo kwenye soko la hisa
2020​


2021

2022

2023

2024
​

Kupitia hizo chati hapo juu ni inaokeana mchuana umekuwa mkali baina ya Benki kubwa mbili : CRDB and NMB lakini Sekta ya starehe hazipo nyuma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…