min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kwamba ulifikiri wanywa bia hatuna madini bwashee?Kumbe Una Thread Nzuri hivii 🙌, Ndo Mana Nakupenda Seran... Anyways Siku Moja Nitakualika Kazini kwangu Uburudike na Ngoma 🥁 😂,,
Kwamba ulifikiri wanywa bia hatuna madini bwashee?Kumbe Una Thread Nzuri hivii 🙌, Ndo Mana Nakupenda Seran... Anyways Siku Moja Nitakualika Kazini kwangu Uburudike na Ngoma 🥁 😂,,
Sina Maana Hiyoo Bro....Kwamba ulifikiri wanywa bia hatuna madini bwashee?
Si Niliona Umesoma ile Thread Yangu Last week, Labda Umesahau tuu...Ngoma tena😂 mnapiga ngoma kazini kwako au?
Utani tu bwashee , usijali😊Maana Hiyoo Bro....
Kumbe wewe ni mwanamke!?Hahahaaaa ......uko vizuri mwaya inaleta afya sana endelea kabisa... unapandisha na key....
Neno" mwaya"😅Kumbe wewe ni mwanamke!?
Ngoja aje kujibu aiseeNeno" mwaya"😅
Nitajibu kwa vile ninavyoamini Mimi, na kwa uzoefu wangu wa maishaHabari wadau wa JF,
Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;
Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?
Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.
Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.
Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nilijua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.
Swali langu kwenu wadau;
1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?
Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,
Karibuni.
Asante sana mkuu, umezidi kunipa imani kuwa si lazima ufanikishe jambo lako hata baada ya kuwa na mawazo chanya hasa ukiwa nje ya mfumo fulani.Nitajibu kwa vile ninavyoamini Mimi, na kwa uzoefu wangu wa maisha
Binafsi naamini fikra chanya zina nguvu, lakini haziwezi peke yake kubadilisha mazingira yote ya maisha, Positive thinking sio uchawi wa kuvuta pesa ila ni mtazamo unaokusaidia kutafuta suluhisho badala ya kukata tamaa.
Halafu sio kila anayeshindwa ameshindwa kwa sababu ya fikra hasi; wakati mwingine tatizo ni ukosefu wa mitaji, fursa na mifumo inayowezesha juhudi kuzaa matunda.
Tujenge mindset chanya, lakini tusipuuze uhalisia wa maisha.