You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

Positive thinking inasaidia, Binafsi inaniletea energy ya kusimama tena au kufanya maamuzi.

Japo matokeo sio mara zote matokea yanaendana na matarajio. Lakini inasaidia kwa kiasi chake.
Mostly matokeo huwa chanya
 
Katika mambo ya kiroho huwa tunasema jambo unalotamani sana kutokea katika maisha yako na halijatokea muda mrefu unashauriwa kuliandika kwenye karatasi yani kama unataka mtoto na hujapata kwa muda au unataka kazi nzuri na hujapata au unataka mtaji nk wakati unafanya hizo harakati basi unaandika hilo jambo lako kwenye karatasi ukishaliandika basi unaliwekea mkakati kuwa nitalisema kila asubuhi mpaka litokee gues why lazima litokee
 
I believe that love wasn't made for me that's why I'm always chasing love.
 
Kumbe Una Thread Nzuri hivii 🙌, Ndo Mana Nakupenda Seran... Anyways Siku Moja Nitakualika Kazini kwangu Uburudike na Ngoma 🥁 😂,,
 
Back
Top Bottom