You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

Nilikuwa nazungumzia kuhusu kukabiliana na kufeli.

Juhudi zinaweza kuwa kubwa lakini zisiwe sahihi. Chamsingi ni kutafuta njia mpya na kuzijaribu, pia kujiweka karibu na waliofika unapotaka.

Kuumizwa kichwa kunahusiana mno na makuzi yako, uzoefu na mazingira. Hakuna mtu anazaliwa akiwaza mafanikio, tunafundishwa na jamii. Tunapaswa kujichunguza mara kwa mara, na kukosoa dhana za mafanikio tulizo nazo.
Umeeleweka!🤝🏽
 
Sio porojo hayo maelezo ndio uhalisia wa maisha yalivyo...

Na kama hauna Ufahamu mkubwa hata elimu ikiwa duni ambapo hapa ndio tupo wengi... Basi njia rahisi ya mtu kama huyu kushift frequency, ni kujihusisha na ibada/dini hususani mafundisho ya injili ya Yesu.

Injili mafundisho yake yamenyooka yapo positive sana hasa ukipata mwalimu mzuri asiye na ego ya udini.( Islam kwa mafundisho ya mashehe wetu hawa sio mazuri kwa kutaka kushift frequency badala waipandishe frequency yako wao wanaishusha kwa kueneza chuki visasi na ego ya udini)

Kwaufupi sana Kitendo cha kuokoka ama kubatizwa baada ya kupitia mafundisho/semina sahihi kama hawa akina mwamposa na wengineo... Ni sawa sawa na kupandisha frequency au kubadilisha identify yako.

Na mtu akibadilisha identity yake na kujichagulia identity ambayo yeye anaitaka na akaaza kuiishi ile identity basi maisha yake lazima yabadilike "where attention goes energy flows" (fake it until you make it)

Ogopa sana mtu anaewagawanja kuwalisha chuki baina ya binadamu kwa kutofautia Imani(Dini), falsafa, rangi, elimu, na kipato anawashusha katika viwango vyenu vya mitetemo na frequency...

Ila mtu mzuri na anae watakia mema watu wote ni baraka na anawapandisha frequency kupitia upendo. Na ndio maana Upendo ndio amri kuu kati ya zile 10.
 
I've been on this path for a while now na kuna siku nilipata wazo hili nikasema Nita weka post ila nilisahau

Maisha hayabadiliki kwa positive affirmation, eti kuongea na kuanza kufikiri kama umefanikiwa

Nothing beats action, ndo maana mtu anaye kwenda kucheza uwanjani anapata experience nzuri kuliko yule anayekesha ku study moves za mchezaji fulani.

Ubaya ni kwamba watu tunakwenda mashuleni na tu nadanganya kuwa expert inabidi some ufaulu mtihani kwa kukariri instead of doing. Baadae wanakuja wachina walio zoea kufanya wanatuzidi.

Hakuna anayependa kufanya kazi because it is uncomfortable ila ndo the only way out.

Hii post imenikumbusha natakiwa ni rudi kwenye hermit mode, nifute distractions upya ili nianze kumanifest my dream life.
Je, kufikiri in a positive way kunaweza kweli kubadili maisha, wakati ni actions ndizo zinazoleta the upward trend kwenye graph ya maisha?

Tujiulize swali la kawaida Kuna mtu anawaza kuwa im going to be a failure in life ? Probably hapana.

Inamaanisha kwamba asilimia kubwa, kama si wote, tunafikiria positively kuhusu maisha yetu.

Tunaamini tutafanikiwa, tutapata maisha mazuri, tutakuwa na pesa, tutafikia dreams zetu.

Lakini kama wengi wetu tunafikiria hivyo, mbona idadi ya wanaofanikiwa ni ndogo kuliko idadi ya watu wanaotamani kufanikiwa na kutarajia maisha mazuri?

What’s the point?

Point ni kwamba thoughts zinaweza kukupa relief, hope na vision, lakini hazichukui nafasi ya action.

Unaweza kujiona ukiwa successful mara mia kwenye akili yako lakini bado ukabaki pale pale kama hakuna hatua unazochukua.

Positive thinking inaweza kukuonyesha where you want to go.
Lakini action ndiyo inakufikisha huko.

Unaweza kufikiria kuhusu degree, career, money, body, business, relationship au future yako kila siku lakini maisha hayabadiliki kwa sababu tu umefikiria vizuri kuhusu hayo.

Good life is not built by what you repeatedly imagine. It is built by what you repeatedly do.

Thoughts zinaweza kuwa mwanzo.

But action is what moves the graph.
Seran
 
Facts
 
Habari wadau wa JF,

Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?

Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;

Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?

Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.

Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.

Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nilijua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.

Swali langu kwenu wadau;

1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?

Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,

Karibuni.
Positive thinking huwa inafanya kazi sana inakuwa ndio energy yako to drive you na hata kama isipotokea inategemea na wewe akili umeiwekaje kupokea though hukutegemea. Huwa inadepend na mtu, kuna baadhi kila ukikutana nae yeye n- na ndio maana wengine wamegundua njia bora to stay positive ni kuwa kimya na kufanya mambo without telling anyone ikitokea amefanikiwa na kufeli still ana believe hiyo p+ thinking yake and move on.
 
Je, kufikiri in a positive way kunaweza kweli kubadili maisha, wakati ni actions ndizo zinazoleta the upward trend kwenye graph ya maisha?

Tujiulize swali la kawaida Kuna mtu anawaza kuwa im going to be a failure in life ? Probably hapana.

Inamaanisha kwamba asilimia kubwa, kama si wote, tunafikiria positively kuhusu maisha yetu.

Tunaamini tutafanikiwa, tutapata maisha mazuri, tutakuwa na pesa, tutafikia dreams zetu.

Lakini kama wengi wetu tunafikiria hivyo, mbona idadi ya wanaofanikiwa ni ndogo kuliko idadi ya watu wanaotamani kufanikiwa na kutarajia maisha mazuri?

What’s the point?

Point ni kwamba thoughts zinaweza kukupa relief, hope na vision, lakini hazichukui nafasi ya action.

Unaweza kujiona ukiwa successful mara mia kwenye akili yako lakini bado ukabaki pale pale kama hakuna hatua unazochukua.

Positive thinking inaweza kukuonyesha where you want to go.
Lakini action ndiyo inakufikisha huko.

Unaweza kufikiria kuhusu degree, career, money, body, business, relationship au future yako kila siku lakini maisha hayabadiliki kwa sababu tu umefikiria vizuri kuhusu hayo.

Good life is not built by what you repeatedly imagine. It is built by what you repeatedly do.

Thoughts zinaweza kuwa mwanzo.

But action is what moves the graph.
Seran
Aww umesema kila kitu! Action is what moves the graph, thoughts zinaweza kuwa mawazo☺️
 
Positive thinking huwa inafanya kazi sana inakuwa ndio energy yako to drive you na hata kama isipotokea inategemea na wewe akili umeiwekaje kupokea though hukutegemea. Huwa inadepend na mtu, kuna baadhi kila ukikutana nae yeye n- na ndio maana wengine wamegundua njia bora to stay positive ni kuwa kimya na kufanya mambo without telling anyone ikitokea amefanikiwa na kufeli still ana believe hiyo p+ thinking yake and move on.
Well said! 👏🏾
 
Kulia ni dawa ya mwili na akili (saikolojia).
Kulia ni namna ya kujisamehe na kusamehe wengine. Kama umefanya makosa yeyote ukilia yaka kugharimu pakubwa, ukilia unajisamehe.
Kulia ni namna ya kupata amani ya moyo, moyo wako unatulia ukishalia.
Kulia ni kujituliza hasa ukiwa na hasira, umepanga kisasi, utajikuta unaachana na kisasi husika kama utalia.
Kulia ni kupunguza uchungu unaoletwa na jambo lolote. Ndio maana unashauriwa mtu akiqnza kulia, mwache kwanza alie, badae ndio uanze mbembeleza. 😊

Huu ni uhalisia kuhusu kulia ambao wengi hawaukubali

Wao wanadhani kulia ni udhaifu/aibu
 
Umeongea ukweli usiopingika.

Nimekaa kusikiliza motivation ila ulivyo fika muda wa kuchukua action, fatigue and unimagineed laziness take over simply because mwili nao una akili yake ambayo huchukua muda mpaka somo ikukae thru action

Thinking W/O acting ni upotezaji wa muda
 
Back
Top Bottom