You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

Positive thinking inakupa nguvu na matuamini ya kuwa unavyoona inafaa...kufikiri pekee haitoshi Bali lazima ufanye ili Jambo sasa likamilike lote, husemwa kuwa utapata unachostahili, wanaposema kuwa As a man thinketh ni kutokana na progress ya Vitendo ambayo ilianzia katika kufikiri, Kila kitu duniani ni zao la imagination so huishii Tu hapo Bali lazima uwe proactive ili kukamilisha Jambo Liwe in reality, maana hakuna mtu asiyefikiri mazuri duniani Bali uthubutu ndio haupo, WHO DARES WINS.
 
Kwahiyo hii nadharia ya kusema you attract what you are ni misemo tu au inafanya kazi ila sio kwa kila mtu? Kwa hivyo unaweza kutarajia jambo kwa ukubwa na kwa uhakika bila kuwaza unaweza ukalikosa pia lakini ukaanguka vibaya tu!

Hii ya kusema kwamba ukiwaza jambo zuri halitatokea ni kweli halitatokea, lakini ukiwaza jambo baya hata kwa probability tu litatokea ni nadharia!

Nilifikiri imani ina nguvu kuliko kitu chochote kile kumbe haiji tu bila mpangilio kama kitu hakikuwa kwenye mfumo!

Umenifundiaha kitu kipya kuwa hakunaga coincidence! Kuna sehemu niliona watu wa imani wanabishana sana humu kujusu imani na matokeo yake wakasema hakuna kitu kama hicho hiyo ni coincidence tu, wewe hapa umesema hakuna coincidence kila kitu kipo kwenye mpangilio 🤔
Hamna coincidence duniani, hiko kitu hakipo, universe inarun kwa numbers ambazo zinafuma pattern zilizo kwenye muunganiko wa asili ya Kila mmoja ila pia kwenye muunganiko wa asili na Dunia.

Utaattract vitu vyote ambavyo vipo kwenye mfumo mlingano na patterns za mitetemo yako.

So, kuanzia watu unaokutana nao, watu wanaokupa msaada na kadhalika, vyote hivi huwa havitokei kwa Kila mtu ila kwa baadhi ya watu.

Kwamfano wewe ukiwa na shida kaa ukijua si Kila mtu atakua kwenye nafasi ya kukusaidia ila lipo kundi fulani la watu ambao wanakua kwenye nafasi ya kukusaidia Kila ukiwa na shida (bila kujali kiwango Chao cha umiliki wa fedha).

Lakini pia mtu huyo huyo ambae anakusaidia wewe haimaanishi kwamba nayeye akipata shida wewe utakua kwenye nafasi ya kumsaidia ila anaweza yeye akawa anakusaidia Kila ukipata shida ila yeye akipata shida akikupigia wewe unakua huna uwezo wa kumsaidia hata kama unania ya kufanya hivyo na hatimae unaweza kujikuta unaumia hadi rohoni ila ni vile tu unakua huna namna. Na hiyo sasa sio coincidence yakusema Kila akikupigia unakua huna pesa au wewe Kila ukimpigia ukiwa na shida unakuta ako na pesa ila ni namna ambavyo ipo katika utaratibu wa kilimwengu.

Kwahiyo hiyo sheria ya attraction ni kweli ipo ila huwezi kuattract vile vitu ambavyo havifungamani na wewe.

Angalia sumaku namna inavyofanya kazi, haiwezi kuvuta Kila kitu ila kuna vitu inaweza kuvuta.

Kwahiyo kufikiri positive au negative hakuwezi kufanya mtu awe tajiri au masikini au augue ugonjwa au apone ugonjwa fulani bali fikra positive au negative zenye uwezo wa kwenda kubadili mpangilio wa mitetemo yako kutoka kwenye level fulani hadi kwenye level fulani inaweza kufanya hivyo.
 
Asante sana! Andiko lako limebadili mfumo wangu mzima wa kufikiri! Umebadilisha mawazo yangu yote niliyokuwa nayo juu ya the law of nature ”you attract what you are” kumbe haya mambo si ya kukariri yanahitaji upeo mkubwa sana kuyaelewa!

Huwa siamini katika coincidence leo umenipa somo jipya! Half of wisdom is learning what to learn!

With heavy gratitude 🙏🏽
 
Positive thinking kusolve mambo yote hii ni kwa motivation tu, practically mambo sio marahisi namna hii
Umeongea ukweli usiopingika.

Nimekaa kusikiliza motivation ila ulivyo fika muda wa kuchukua action, fatigue and unimagineed laziness take over simply because mwili nao una akili yake ambayo huchukua muda mpaka somo ikukae thru action
 
Hamna coincidence duniani, hiko kitu hakipo, universe inarun kwa numbers ambazo zinafuma pattern zilizo kwenye muunganiko wa asili ya Kila mmoja ila pia kwenye muunganiko wa asili na Dunia.

Utaattract vitu vyote ambavyo vipo kwenye mfumo mlingano na patterns za mitetemo yako.

So, kuanzia watu unaokutana nao, watu wanaokupa msaada na kadhalika, vyote hivi huwa havitokei kwa Kila mtu ila kwa baadhi ya watu.

Kwamfano wewe ukiwa na shida kaa ukijua si Kila mtu atakua kwenye nafasi ya kukusaidia ila lipo kundi fulani la watu ambao wanakua kwenye nafasi ya kukusaidia Kila ukiwa na shida (bila kujali kiwango Chao cha umiliki wa fedha).

Lakini pia mtu huyo huyo ambae anakusaidia wewe haimaanishi kwamba nayeye akipata shida wewe utakua kwenye nafasi ya kumsaidia ila anaweza yeye akawa anakusaidia Kila ukipata shida ila yeye akipata shida akikupigia wewe unakua huna uwezo wa kumsaidia hata kama unania ya kufanya hivyo na hatimae unaweza kujikuta unaumia hadi rohoni ila ni vile tu unakua huna namna. Na hiyo sasa sio coincidence yakusema Kila akikupigia unakua huna pesa au wewe Kila ukimpigia ukiwa na shida unakuta ako na pesa ila ni namna ambavyo ipo katika utaratibu wa kilimwengu.

Kwahiyo hiyo sheria ya attraction ni kweli ipo ila huwezi kuattract vile vitu ambavyo havifungamani na wewe.

Angalia sumaku namna inavyofanya kazi, haiwezi kuvuta Kila kitu ila kuna vitu inaweza kuvuta.

Kwahiyo kufikiri positive au negative hakuwezi kufanya mtu awe tajiri au masikini au augue ugonjwa au apone ugonjwa fulani bali fikra positive au negative zenye uwezo wa kwenda kubadili mpangilio wa mitetemo yako kutoka kwenye level fulani hadi kwenye level fulani inaweza kufanya hivyo.
Mkuu ni kama umeelezea kitu ambacho ni nadharia tu..

Unaposema mtetemo what does that mean, in the sense that you can never sense your own very vibration unless uwe action less.

Labda ungesema thru alignment ya actions kwanza, maana movement is what starts the vibration, then hiyo movement iwe accustomed to changes matching the thing you wanna attract, likewise itafika point energy and vibration zitamatch na hapo ndipo attraction inatimia
 
Sio lazima kuwe na action ya moja kwa moja, kwasababu kiuhalisia sio Kila action inaweza kupelekea vibration inayoweza kwenda kuchange frequency za mtu husika.

Na ukisema nadhalia ni almost kweli uko sawa coz haya mambo kwa ujumla wake hayana prove yoyote ya moja kwa moja kwenye upande wa sayansi.
 
Mimi sio motivation speaker lakini nafikiri ni moja kati ya the strongest people i know

Nimepitia pitia mengi lakini kujua ni ngumu hadi niseme

1. Sijawahi kubadili mawazo na maisha yangu yakabadilika, lakini nimewahi kubadili mawazo yangu nikapata unafuu wa nafsi

2. Nikiwa na mawazo ya pressure ya kazi/mahusiano huwa natoa uchungu kwa kulia( mimi ni mliaji haswaaa) kwa mahusiano na kama pressure ya kazi njia pekee ni kufanya kazi kuziba hivyo vipengele vinavyoleta pressure

3. Positive thinking ni nzuri lakini haifanyi kazi kwa kila case
Umejibu vizuri
 
Survivorship bias - Kosa la kimantiki la kuchukulia wale waliofanikiwa kwenye jambo fulani kama kielelezo huku ukipuuzia waliofeli.

Mfano, umepata ajali. Abiria wenzio wote wanafariki unapona wewe tu. Unaanza kudhani eti kuna kusudi flani limekuepusha na kifo.

Akili ya mwanadamu haiwezi kuhimili mikiki mikiki. Itatafuta patterns. Lakini maisha si marahisi hivyo, hayana patterns.
Imani ni jambo zuri. Inaleta sana hamasa. Lakini haiwezi kubadili kila kitu. Na kuna muda inatuumiza.
 
Wabheja sana! Kwahiyo kumbe ukiwa na mawazo positive unapokea positive ila ukiwa na mawazo hasi unapokea hasi, what if ukiwa positive na jambo fulani kwa muda mrefu, lets say mwaka ukapata matokeo tofauti na matarajio huruhusiwi kuwa heart broken kwenye same sane situation ambayo umekuwa ukiipambania kwa muda mrefu?
Mara nyingi kama ulisubiri jambo zuri kwa muda mrefu likakufanya uka give up let say na pengine likakupa stress ukija kufanikiwa hata baada ya miaka 10 unapata internal healing ambayo itarestore ile positive energy yako iliyopotea. Mfano vijana wanaosubiria ajira baada ya kufanya interview
 
Habari wadau wa JF,

Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?

Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;

Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?

Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.

Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.

Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nilijua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.

Swali langu kwenu wadau;

1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?

Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,

Karibuni.
Braza , naomba ku share mahali haya madini yako
 
Okay kwa mfano una expect jambo fulani litatokea halafu lisitokee ukaanza kujisikia vibaya ukaona kama kile kitu hukustahili unakuwa umekaribisha negativity? Na kama umeikaribisha unawezaje kurudi kule mwanzo kwenye positivity?
Weka imani kwenye mambo yaliyo nje ya uwezo wako kwa 100% tu.

Kwenye mambo yaliyo ndani ya uwezo, fanya kinachotakiwa, ukifeli jitathmini, songa mbele.

Kama kuna anguko linakuumiza sana tafuta mzizi wake
 
Mtu mzima ni kuanzia miaka mingapi kwanza? 😆

Manake bila kulia sitoboi

Kulia ni dawa ya mwili na akili (saikolojia).
Kulia ni namna ya kujisamehe na kusamehe wengine. Kama umefanya makosa yeyote ukilia yaka kugharimu pakubwa, ukilia unajisamehe.
Kulia ni namna ya kupata amani ya moyo, moyo wako unatulia ukishalia.
Kulia ni kujituliza hasa ukiwa na hasira, umepanga kisasi, utajikuta unaachana na kisasi husika kama utalia.
Kulia ni kupunguza uchungu unaoletwa na jambo lolote. Ndio maana unashauriwa mtu akiqnza kulia, mwache kwanza alie, badae ndio uanze mbembeleza. 😊
 
Kuna kitabu kimoja nilikisoma miaka kadhaa, around 2013. Kinaitwa "Think and grow rich- Napoleon Hill. Na toka hapo ninacho hiki kitabu, na huwa sichoki kukisoma.

Kuna somo kubwa sana mle linaitwa "The power of positive thinking". Somo hilo ni kama somo hili, ulilotoa hapa.
Ni kweli kabisa; kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni matokeo ya fikra zake (Fikra sahihi na chanya).
 
Hii no. 03 unamsaidiaje mtu ambaye muda mwingi ananung’unika na kuona hakusatahili kupitia jambo fulani? Na kwanini negativity iwe faster kuwa attracted kwa sababu tu mtu huyo haja appreciate kitu kibaya kilichomkuta?

Kwenye hii comment yako kuna kitu muhimu sana umegusia ambacho ni exactly opposite to your thread.

Kwanini ni rahisi sana Negative thoughts kutokea kuliko positive.

Binafsi nina ushuhuda wa watu au mie mwenyewe katika mambo mengi.

If I have to rate,
1. Negative thinking: above 60% happened
2. Positive thinking: less than 5% happened
3. Mixed feelings: 20% unexpected results

Swali ambalo bado najiuliza, Kwanini ni rahisi sana kwa Negativity kutokea kuliko Positivity
 
Wabheja sana! Kwahiyo kumbe ukiwa na mawazo positive unapokea positive ila ukiwa na mawazo hasi unapokea hasi, what if ukiwa positive na jambo fulani kwa muda mrefu, lets say mwaka ukapata matokeo tofauti na matarajio huruhusiwi kuwa heart broken kwenye same same situation ambayo umekuwa ukiipambania kwa muda mrefu?
Nafikiri hiyo theory ya positive thinking kwy huo mfano wako ndipo inapofanya kazi vizuri zaidi kwa tafsiri yangu kuliko mwanzoni.

Kwamba unapopata Negative results, usijute, kuuzunika au kukata tamaa. Badala yake fikiria kuna kitu hukukifanyia kazi vyema mwanzo hivyo fikiria namna ya kujaribu tena. Hapo ndio inakuja ule msemo "keep on trying "
Na kutokana na hiyo, ndio maana wanasema waliofanikiwa wengi walipambana hawakukata tamaa.

Mfano, wavumbuzi wengi wanapitia fall down nyingi sana hadi kuja na hizo innovative solutions.

Ukibaki kwy kujuta, kukata tamaa, huzuni, majuto. Hiyo ndio Negative thinking sasa, coz hutaendelea au kurudia kitu kilichokupa Negative results.

Maelezo hayo juu, kwa mtazamo wangu ndio maana halisi kati ya Positive and Negative thoughts.

Kuna vitu vichache sana hutoa results mwanzoni kabisa mfano:

1. Ukimuwazia sana mwenza wako kwamba ana cheat (which is Negative) ni ngumu kuamini hata akikwambia ukweli na mwisho ni kuvunjika kwa penzi (Negative results)

2. Ukimuwazia Positively, huta poteza muda wako kumuhofia na mnaweza dumu muda mrefu kama sio milele (positive results)

Kuna mfano mmoja unasemwa sana kwamba Wazee wetu walikua wanafanya zamani kwamba akisafiri, siku akirudi basi haendi home moja kwa moja. Anapitia kwa rafiki yake sehemu kisha anatuma watoto wapeleke mzigo wake home kama taarifa Mzee karudi wekeni mambo sawa kama kuna cheating inaendelea.

Mfano wa pili, Wazee hasa kwy miji midogo au vijijini, akiwa anarudi home usiku kutoka kilabuni au kupiga mitungi basi akikaribia home anaweza kuanza kuimba au kupiga mruzi na haendi ndani moja kwa moja, atazugazuga kukagua banda la kuku au mbuzi, atatibgisha sana geti kama lipo ili mradi tu mjue kafika then anaenda toilet for a while ili kutoa mwanya mtu atimke.

Mifano hiyo wanasema ilifanikisha ndoa zao kudumu sana.
 
Hii ni kweli ila shida watu wanachanganya kati ya mawazo (ambayo mostly huwa yanakuja randomly na ni ngumu kuyacontrol) na hisia zinazopelekea kufocus kwenye jambo husika kwa muda mrefu.

Kiuhalisia, kuwaza mambo mabaya au mambo mazuri hakuwezi kukufanya uangukie huko, coz unaweza kuwaza kufa na usife na unaweza kuwaza kuwa tajiri na usiwe.

Ila effect ya hicho unachowaza huwa inaenda kwenye uhalisia pale ambapo mitetemo yako inatetema kwenye eneo sawia na kile unachokiamini ndani yako (kwahiyo sio mawazo ila mostly ni Imani)

Na infact Imani huwa haziji tu kwenye Kila jambo ila Imani huwa inakuja kwenye yale yote ambayo ni hakika kwa mtu husika coz universe hainaga bahati mbaya wala nzuri ila Kila kitu kipo kwenye mpangilio wake, so Kila kitu ambacho mtu anakutana nacho hakijawahi kuwa coincidence.

Ndio maana kitu ambacho wewe unakiogopa na kinaweza kukufanya mapigo yako ya moyo yaende mbio once kikitokea sio kitu ambacho kinaweza kikadundisha mapigo ya moyo ya Kila mmoja.

Ni sawa na mitetemo pia.

Daaah!
Sijatamani ufafanuzi wako ufike mwisho.
Umeongea vizuri sana lakini naona kama uongeze zaidi au kama kuna kitabu urecommend tukipitie. Asante sana.
 
Positive thinking inakupa nguvu na matuamini ya kuwa unavyoona inafaa...kufikiri pekee haitoshi Bali lazima ufanye ili Jambo sasa likamilike lote, husemwa kuwa utapata unachostahili, wanaposema kuwa As a man thinketh ni kutokana na progress ya Vitendo ambayo ilianzia katika kufikiri, Kila kitu duniani ni zao la imagination so huishii Tu hapo Bali lazima uwe proactive ili kukamilisha Jambo Liwe in reality, maana hakuna mtu asiyefikiri mazuri duniani Bali uthubutu ndio haupo, WHO DARES WINS.
Simple and Clear explanation.
Umeiweka vizuri sana kwa kifupi, straight na lugha rahisi kueleweka.
Infact, umefanya summary ya karibu vitabu vitatu vyenye kurasa 250+ kwa just that short paragraph.

Asante sana.
 
Back
Top Bottom