You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

Si Niliona Umesoma ile Thread Yangu Last week, Labda Umesahau tuu...
Anyways Mimi Ni Mpiga Ngoma za Shughuli, Vigodoro,, Baíkoko 😅 , Ndo Mishe inayoniweka Mjini ☺️.
Hmm.. asante! Ila sio mambo yangu hayo 🫢
 
Nitajibu kwa vile ninavyoamini Mimi, na kwa uzoefu wangu wa maisha

Binafsi naamini fikra chanya zina nguvu, lakini haziwezi peke yake kubadilisha mazingira yote ya maisha, Positive thinking sio uchawi wa kuvuta pesa ila ni mtazamo unaokusaidia kutafuta suluhisho badala ya kukata tamaa.

Halafu sio kila anayeshindwa ameshindwa kwa sababu ya fikra hasi; wakati mwingine tatizo ni ukosefu wa mitaji, fursa na mifumo inayowezesha juhudi kuzaa matunda.

Tujenge mindset chanya, lakini tusipuuze uhalisia wa maisha.
 
Asante sana mkuu, umezidi kunipa imani kuwa si lazima ufanikishe jambo lako hata baada ya kuwa na mawazo chanya hasa ukiwa nje ya mfumo fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…