Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Unamtumia Nauli demu mlojuana Insta atoke Mwanza aje Dar, HALAFU UNASEMA HUJAWAHI KUBETu can't be serious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa ....Nilibeti nauli ya Kutoka Mtwara hadi Mwanza(Hatari sana)
Japokuwa alikuja lakini niligundua hakutoka Mtwara, aliniambia hakutokea huko ila alijiongeza ili nikizingua awe na Salio la kumrudisha kwao
Sasa mbona unanisema mimi mkuu...acha hizoUnamtumia Nauli demu mlojuana Insta atoke Mwanza aje Dar, HALAFU UNASEMA HUJAWAHI KUBETu can't be serious
Haaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaa nakutaka radhi mkuu!Sasa mbona unanisema mimi mkuu...acha hizo
poa mkuu amaniHaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaa nakutaka radhi mkuu!