YOU CAN'T BE SERIOUS !!!

YOU CAN'T BE SERIOUS !!!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Unamtumia Nauli demu mlojuana Insta atoke Mwanza aje Dar, HALAFU UNASEMA HUJAWAHI KUBETu can't be serious
 
Nilibeti nauli ya Kutoka Mtwara hadi Mwanza(Hatari sana)
Japokuwa alikuja lakini niligundua hakutoka Mtwara, aliniambia hakutokea huko ila alijiongeza ili nikizingua awe na Salio la kumrudisha kwao
 
Nilibeti nauli ya Kutoka Mtwara hadi Mwanza(Hatari sana)
Japokuwa alikuja lakini niligundua hakutoka Mtwara, aliniambia hakutokea huko ila alijiongeza ili nikizingua awe na Salio la kumrudisha kwao
Hahahaaa ....
 
Back
Top Bottom