You must be in the mind of your children in order to be successful" I stand to be corrected for this

You must be in the mind of your children in order to be successful" I stand to be corrected for this

Mkuu ww ndio umenielewa , formula za maisha zipo sana tuu, ukitaka kuamini hapo hapa tz kuna makabila yana formula zao za maisha na zinawatoa mfano , wachaga, wapare , wakinga, wahaya n.k

Family nyingi ambazo zimekuwa kwenye utajiri zina siri nzto(formula) za kuendesha na kusimamia Biashara zao na hyo siri inaridhishwa vizazi na vizazi lakini mpka kupata formula lazma inatakiwa kuhaso sana aisee

Pia kila kampuni kubwa (big brands in the world) mfano Apple, Microsoft, cocacola, amazoni, Facebook, alibaba hizi brand zina siri nzto ambayo ndio formula yao kufanikiwa
Kabisa chief [emoji122][emoji122]
 
Kama vile umeniona mimi kuandika .ngoja nifanyie kazi maana akuna utumwa mkubwa kama kusubilia mwisho wa mwezi.
 
Mungu alipomuumba Adam na kumweka katika bustani ya edeni! Ule haukuwa mpango, malengo wala ndoto za adam Ila yalikuwa ni malengo, maono na ndoto za muumba!! Hivyo mungu alikuwa na mpango Fulani na mpango huu hakuutekeleza mpaka pale alipofanta maandalizi yatakayopelekea mpango huo kutimia vema!
Mara nyingi tunazungumza kuhusu kuwa na malengo katika maisha na malengo hayo hugawanyika (malengo ya muda mrefu, muda mfupi), tatizo kubwa ambalo linatukumba na kujikuta tunaishi maisha yaleyale waliyoishi wazazi wetu ni kuwa hakuna uelewa was kutosha juu ya malengo ya muda mrefu!!
Kijana mwenzangu tambua utofauti uliopo kati ya malengo na maono!!! Asilimia kubwa ya wazazi wetu walkuwa na malengo ila hawakuwa na maono! Kwahiyo bado hata na wanao ambao ndo sisi tunabaki kuishi jinsi walivyokuwa wanaishi!!
Aiseeee!!! Badili mtazamo malengo ya muda mrefu ndiyo maono ikiwa na maana kuwa hata were usipo yafikia Ila wanao watayatimiza!!! Jiulize mzazi wako kakuachia maono gani aliyokuwa nayo ambayo alitamani sana kuyafikia na kuyatimiza?? Sehemu ya fulani ya maisha tunayoishi ni mambo tuliyoyaona kwa wazazi wetu!! So if you want to change the world then change yourself first!!

Kuwa na maono ya muda mrefu ambayo hata mwanao kesho na keshokutwa akikuuliza baba unataka nikufanyie nini uwe na chakumjibu!! Malengo yako hayata wasaidia wanao ila kitakachowasaidia wanao ni maono yako ndugu yangu!!!
 
Son of the son, nakupa tano ya nguvu. Ni hoja yenye tija haina utani. Tungekua kwenye akili za watoto wetu kweli tungeendelea mf. Anakuuliza baba ungenunua shamba kubwa wakati ule ungekua tajiri sasa, huenda ulikua na pesa ukapuuzia na inauma sana. Mimi nipo Kerege Bagamoyo, laiti ningechukua mkopo na kuwekeza kwenye ardhi ningekua mbali sana. Turudi kwenye elimu, sio ya vitendo ila upate cheti basi. Mwanao ajifunze namna ya kucheza na ardhi, aweke mawazo yake kwenye uzalishaji asije akajuta kama mimi "I wished I could have known " too late
 
Son of the son, nakupa tano ya nguvu. Ni hoja yenye tija haina utani. Tungekua kwenye akili za watoto wetu kweli tungeendelea mf. Anakuuliza baba ungenunua shamba kubwa wakati ule ungekua tajiri sasa, huenda ulikua na pesa ukapuuzia na inauma sana. Mimi nipo Kerege Bagamoyo, laiti ningechukua mkopo na kuwekeza kwenye ardhi ningekua mbali sana. Turudi kwenye elimu, sio ya vitendo ila upate cheti basi. Mwanao ajifunze namna ya kucheza na ardhi, aweke mawazo yake kwenye uzalishaji asije akajuta kama mimi "I wished I could have known " too late
Uhalisia hubaki kuwa uhalisia! Asante mkuu!!!
 
Samahani hapo nilimalizia na broken English, not wished but "I wish I could have known "
 
Hata hizi elimu mnazoziona zinafaa, ni faida za mawazo ya wazazi wa kizungu.

To be honest, moja kati ya vitu navichukia ni hii elimu ya msingi mpaka Chuo. Yaani imeharibu fikra za wazazi wengi mpaka kizazi hiki.

Suala sio kuishi kwenye fikra za watoto wetu. Suala ni je, unachokiandaa kwaajili ya wanao kitakua na thamani wakati ujao?

Mzazi wangu alikua mkulima mzuri wa kahawa. Na alipiga sana hatua kipindi hicho mpaka akawa anafanya kilimo cha kisasa. Kilimo ambacho kilikua hakisubiri mvua inyeshe. Alikua na mshine za kuvuta mtoni kupeleka shambani. Kusema kweli alikua ni mfano wa kuigwa. Lakini baada ya kuingia huyu mdudu mnamuita elimu ya darasani, akashindwa kuwekeza akili kwa watoto wake kwenye kilimo bora zaidi ya kile alichokua anakifanya. Akawapeleka wanae wakaingize virus kwenye vichwa ili Leo hii wawe watumwa kwenye maofisi ya watu. Laiti kama angetumia nafasi ili kuwapa elimu ya vitendo kuhusu kilimo wanae, kusema kweli tungekua mbali sana. Huu umasikini usingetutesa.

Sitafanya kosa la Mzee wangu ambaye saizi ni masikini wa kuomba sh 2000.

Note: elimu ya kwenye makaratasi haina faida tena kwa kizazi hiki cha vitendo

Wekezeni kwenye vichwa vya wanenu hayo mnayoyafanya ili baadae waje kuyaendeleza.

Namaliza kwa kusema upo sahihi mkuu
Baba Yuko is nice... Being nice or trying to look nice isn't best for survival. Be the beast instead.
 
Kitu muhimu kama una biashara au Kilimo ni kupanga muda wa watoto wako kusoma na kushiriki kwenye shughuli za familia. Ikiwezekana wape motisha kama ujira mdogo au zawadi ili wapende shughuli hiyo.

Wasipofanikiwa darasani angalau wana mtaji wa maisha.
Hapo umepigilia msumari penyewe kabisaa!
 
Back
Top Bottom