Mkuu ww ndio umenielewa , formula za maisha zipo sana tuu, ukitaka kuamini hapo hapa tz kuna makabila yana formula zao za maisha na zinawatoa mfano , wachaga, wapare , wakinga, wahaya n.k
Family nyingi ambazo zimekuwa kwenye utajiri zina siri nzto(formula) za kuendesha na kusimamia Biashara zao na hyo siri inaridhishwa vizazi na vizazi lakini mpka kupata formula lazma inatakiwa kuhaso sana aisee
Pia kila kampuni kubwa (big brands in the world) mfano Apple, Microsoft, cocacola, amazoni, Facebook, alibaba hizi brand zina siri nzto ambayo ndio formula yao kufanikiwa