Kabisa chief [emoji122][emoji122]Mkuu ww ndio umenielewa , formula za maisha zipo sana tuu, ukitaka kuamini hapo hapa tz kuna makabila yana formula zao za maisha na zinawatoa mfano , wachaga, wapare , wakinga, wahaya n.k
Family nyingi ambazo zimekuwa kwenye utajiri zina siri nzto(formula) za kuendesha na kusimamia Biashara zao na hyo siri inaridhishwa vizazi na vizazi lakini mpka kupata formula lazma inatakiwa kuhaso sana aisee
Pia kila kampuni kubwa (big brands in the world) mfano Apple, Microsoft, cocacola, amazoni, Facebook, alibaba hizi brand zina siri nzto ambayo ndio formula yao kufanikiwa
Prove itMaisha yana formula mkuu, I can prove it
Nimeelewa sana;kwa ufupi unataka wazazi wavae viatu vya watoto hapo baadae kuepuka lawama ya kujiuliza kama,mbona wazazi wengine matajiri au wana nyumba na gari kwa nini baba hana?Ww umeelewa mkuu
Uhalisia hubaki kuwa uhalisia! Asante mkuu!!!Son of the son, nakupa tano ya nguvu. Ni hoja yenye tija haina utani. Tungekua kwenye akili za watoto wetu kweli tungeendelea mf. Anakuuliza baba ungenunua shamba kubwa wakati ule ungekua tajiri sasa, huenda ulikua na pesa ukapuuzia na inauma sana. Mimi nipo Kerege Bagamoyo, laiti ningechukua mkopo na kuwekeza kwenye ardhi ningekua mbali sana. Turudi kwenye elimu, sio ya vitendo ila upate cheti basi. Mwanao ajifunze namna ya kucheza na ardhi, aweke mawazo yake kwenye uzalishaji asije akajuta kama mimi "I wished I could have known " too late
Baba Yuko is nice... Being nice or trying to look nice isn't best for survival. Be the beast instead.Hata hizi elimu mnazoziona zinafaa, ni faida za mawazo ya wazazi wa kizungu.
To be honest, moja kati ya vitu navichukia ni hii elimu ya msingi mpaka Chuo. Yaani imeharibu fikra za wazazi wengi mpaka kizazi hiki.
Suala sio kuishi kwenye fikra za watoto wetu. Suala ni je, unachokiandaa kwaajili ya wanao kitakua na thamani wakati ujao?
Mzazi wangu alikua mkulima mzuri wa kahawa. Na alipiga sana hatua kipindi hicho mpaka akawa anafanya kilimo cha kisasa. Kilimo ambacho kilikua hakisubiri mvua inyeshe. Alikua na mshine za kuvuta mtoni kupeleka shambani. Kusema kweli alikua ni mfano wa kuigwa. Lakini baada ya kuingia huyu mdudu mnamuita elimu ya darasani, akashindwa kuwekeza akili kwa watoto wake kwenye kilimo bora zaidi ya kile alichokua anakifanya. Akawapeleka wanae wakaingize virus kwenye vichwa ili Leo hii wawe watumwa kwenye maofisi ya watu. Laiti kama angetumia nafasi ili kuwapa elimu ya vitendo kuhusu kilimo wanae, kusema kweli tungekua mbali sana. Huu umasikini usingetutesa.
Sitafanya kosa la Mzee wangu ambaye saizi ni masikini wa kuomba sh 2000.
Note: elimu ya kwenye makaratasi haina faida tena kwa kizazi hiki cha vitendo
Wekezeni kwenye vichwa vya wanenu hayo mnayoyafanya ili baadae waje kuyaendeleza.
Namaliza kwa kusema upo sahihi mkuu
Hapo umepigilia msumari penyewe kabisaa!Kitu muhimu kama una biashara au Kilimo ni kupanga muda wa watoto wako kusoma na kushiriki kwenye shughuli za familia. Ikiwezekana wape motisha kama ujira mdogo au zawadi ili wapende shughuli hiyo.
Wasipofanikiwa darasani angalau wana mtaji wa maisha.