You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

Ubachela ni ghali kuliko ndoa.......
tofauti ni kwamba gharama za ubachela unatoa kidogokidogo.
Ila hii ya kuingia mitini (bila kufanya sherehe) na ku'play deaf' inalipa...kama waweza vumilia mimacho ya watu.
 
hhaaaaaa jamani wewe acha uongo huo humwogopi Muumba weye???

Ooops! Hii keyboard yangu ina system ya Kijerumani....Naandika kitu kingine, kinatokea kingine! 🙂
 
Ooops! Hii keyboard yangu ina system ya Kijerumani....Naandika kitu kingine, kinatokea kingine! 🙂

mmh hujabadilisha hiyo keyboard tu......utajifunga bila hatia siku nyingine
 
Hatukuwa tufanya, bali tulikuwa tunaonja tu!
good boy!.......kama Adam na Hawa vile....ok we alikushawishi nyoka au BHT?

si muhusika hapo

Ubavu wako ulihusika.......!

hatukuwahi kufanya hivo muulize Masaki aseme
Kama Evaaaaaaa!

hhaaaaaa jamani wewe acha uongo huo humwogopi Muumba weye???

Weye ndo humwogopi kabisa mungu......jana ulikataa tu kuwa hukuwa kutumia ...ile BUZZ or sorry Mobitel ya siku hizi.....mingine yote umetumia....tena leo wakataa?
 
good boy!.......kama Adam na Hawa vile....ok we alikushawishi nyoka au BHT?

Ubavu wako ulihusika.......!

kasema kibodi yake ni ya kijerumani

Kama Evaaaaaaa!

Weye ndo humwogopi kabisa mungu......jana ulikataa tu kuwa hukuwa kutumia ...ile BUZZ or sorry Mobitel ya siku hizi.....mingine yote umetumia....tena leo wakataa?

weeeee acha kunisingizia NL, nimekuuliza hasira za mgombea wenu ndo umalizie kwangu???????????????????????
 
Ooops! Hii keyboard yangu ina system ya Kijerumani....Naandika kitu kingine, kinatokea kingine! 🙂

tena mwelezee NL vizuri maana ananiona mie muongo
 
X-PIN,PAKAJIMMY,NGULI,CARMEL,BARBARITA,KAIZER,FL1,NEXT LEVEL,GKUNDI................!i am officially falling on your heads...!and this thread is for you guys.

YOU SHOULD HAVE TOLD ME JAMANI!KWANINI MLINITOSA?...i mean kwanin hamkunijuza kwamba the wedding thing is this much costly?...kwanini hamkunipa cost implications za harusi....?hakika mngenipa angalizo kwenye hili ''ningefikiria mara mbili'' juu ya maamuzi yangu,au pengine ningejipanga upya...

FIDEL80 NA JS...!hata kama ninyi ni ma super-bachelors kwamba mlikuwa hamujui?...sio inshu washkaji zangu,mngeniambia tu!...enewei..

BHT na ZD...!kwanin mliamua kuninyamazia kwenye hili?...mimi ningekuwa na gari yangu leo hii...poa tu mazee

MASANILO....!mwanawane umeniacha nimeangamia hivi hivi?....nimefulia kisa harusi?....poa tu mtu wangu

PRETTA,PRETTY,ANNINA,NANILIU,LILYFLOWER,SUGAR WA UKWELI,BABYLOVE.........!mmenitosa hivihivi.mngenitonya tu watu wangu mi ningejua itakuwaje,lakini poa tu

GEORGIEPORGIE...!dah!pamoja na lift zoote za tukutuku mbado uliamua kukaa kimya?.....dah haya bwana........

WATU WANGU MLIAMUA KUNIKAUKIA KWENYE HILI?......

....!i will never get married for the second time!...

DAMN COSTLY

Heheheeeeeeeee! .....hommmmmmie banaa! ngoja nikupe versie ya kihome home.......! kangalage ulimage, ulalya humwaha x 2!

Nilikwambia chupaaaa dirishani.......wenzio haaaaaah kwa raha zetu!
 
hapo kwa bold?????????? hahaaaaaaaa jamani leo umeniamkia haswaa

OK tell me one thing, wale walioenda Bomani, wakaunganishwa na Mkuu wa wilaya.....Je, wanazini au wanafanya uasherati? na je wale waliootana street wanafanya nini? na je, walioenda church.msikitini.....ile kitendo cha kumegana utakiitaje?
 
waliohalalishwa na sheria ya serikali au ya Mungu (msikitini au kanisani ) wafanya tendo la ndoa, waliookotana street wazini!!
 
NL na Baht hamieni jukwaa la mambo ya kikubwa!

why?? if you may clarify that??

hivi ya kikubwa na mapenzi na mahusiano yana tofauti??? nisameheni mwenzenu hata mwalimu wangu alinivumilia hivo mpaka nikamaliza darasa la saba!!!
 
waliohalalishwa na sheria ya serikali au ya Mungu (msikitini au kanisani ) wafanya tendo la ndoa, waliookotana street wazini!!

Unaweza rudia hayo maneno kwa faida ya Mzee wa Zenj?

Umeona kibatani eeeeeh ............?
 
NL na Baht hamieni jukwaa la mambo ya kikubwa!

.......we mzee wa Kyela bana...siku hizi kule kny jukwaa la wakubwa hata chekechea wanaingia.....huyu ungesema niende naye kule uani.......!

Vipi nasikia mpemba karibia akuchoropoke? don't worry JF limekuja ''re-rice''...kuna sredi yake hot huku........ha!hahahahaha!
 
Back
Top Bottom