You title it.......

You title it.......


....hahahahaha, umeona ee? yaani mimi nilidhani tushamuacha 2011 kumbe 'kafichwa' na
SRM (Special Romantic Moments) sijui kwenye ka retreat ka wapi tu yarabi kufunga na kufungua mwaka,

...ama amefwaudu huyu jamaa dah!!
ngoja niendelee kumsoma na lyrics zake... kabla hajabadilisha tune.
Ni nadra sana kumsoma amefungua thread huyu! lol...

ha ha ha mkuu moskwito, I plead the fifth
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
She is like an angel, amejawa na nidhamu
Her smile is special, maneno yake matamu
Highest above level, hakika hanishi hamu
Sticked her my label, awe wangu wa kudumu.

Akiwa karibu yangu, nothing I want more
Yakimkosa macho yangu, my heart always sore
Kama nyota na mbingu, please baby love me so
Wewe ni wangu wa tangu, its written in your eye brow

Love you have for me, ni dhahiri sio siri
"You won't abandon me", kila saa wakariri
"You live inside me" , wanipamba kwa shairi
"Ooh baby forgive me", mwepesi makosa kukiri

Nikizama niokoe, You are my only life jacket
Siri zetu usitoe , keep them inside your pocket
Wazembe wasikuzuzue, let them kick the bucket
Waachie wafulie , I will pay their docket

I have more to say , lakini sitomaliza
I hope its all okay , nahofia kukukwaza
Love is here to stay, nangoja kukuchombeza
Turn me on/ dont delay, nadhani nimemaliza.


Ni mimi malenga wenu klorokwini a.k.a "chizi fukara, kula kwa jirani"

WARNING: Guessing hairuhusiwi.

habari zako mkuu kloro unafahamu babu asprin ni mgonjwa?
 
lol.... mmmmh jamani


hehehe The Boss bana, leo mie ni bubu bana.


Mmmmhh lahaula


granted


Mod is always right....lol


miss ya too love, heri ya mwaka mpya na wewe, msalimie bamkwe mtambuzi

Zimefika!ulikumbuka kuniletea ile 9tdrec ya rimot!
 
Habari yako ya kua uko honey moon nilijua ni beat tu!

aaisee.... This seals the information na kui-file kabisa!

Welcome to the club of being in Love... lol
 
@kloro,orait ila watumie msg uwaambie waipunguze kidogo kwan nimeshanya dayat km ulivotaka na sasa nimepungua!
 
Habari yako ya kua uko honey moon nilijua ni beat tu!

aaisee.... This seals the information na kui-file kabisa!

Welcome to the club of being in Love... lol
hehehe halaf wewe si niliskia uko continental (source: fellow tablet na kipipi), unairudi kanga moko laki si pesa?

Dah nae?
Haya bana.
heheeh hivi unatania lizzy? mbona kila kitu kiko wazi bana, unanilet down.

@kloro,orait ila watumie msg uwaambie waipunguze kidogo kwan nimeshanya dayat km ulivotaka na sasa nimepungua!
nani kakupa kibali cha kufanya dayat? wengine tunapenda kuanzia kilo tisini kwenda juu bana, unahalibu canta

hehehe..."guilty until proven innocent!"
haya kaka, umesomeka... ♪ endelea kushusha lyrics ♪
lol.......

loya heri ya mwaka mpya
heri ya mwaka mpya blaki woman, mwanamke pekee ambae hatumii mkorogo east afrika mashariki na kati
 
Ulijuaje? unafanya kazi X- ray nini?

Siku ile tunakufanyia Brain Scanning ndo nililisoma hili,nikakuuliza ukasema ndiyo.....

hamna siri duniani,utazitoa tu hata ukiwa mahutihuti....chezeya brain scanner sasa...!
 
Mr Kloro... happy to see you! Happy new year!

Mwaka huu ni kufunguka tu...🙂 All the best...:A S-coffee:
 
Siku ile tunakufanyia Brain Scanning ndo nililisoma hili,nikakuuliza ukasema ndiyo.....

hamna siri duniani,utazitoa tu hata ukiwa mahutihuti....chezeya brain scanner sasa...!

Halaf kuna mzembe alisema anakumaindi, mimi nilijifanya bro wako, nishamlia hela zake. Mjini apa bana
 
Back
Top Bottom