You title it.......

Isje kuwa umeniota ili nikasaidie hela ya kumkomboa excellent, manake nyinyi wadada kwa sapraiz bana .
Nilikumiss mpaka nikakugoogle, kulaleki!

lol huyo keshazama wala mimi nimekuota coz nilikumic.Ulivyoni google uliona nini?
 


"Kwa wewe ninaekudanganya!"
 
Hata wahalifu wana haki jamani.
You of all people should know that lawyer. . .
Mhalifu ana haki as long as unaweza kutwist uhalifu wake usionekane adhawaizi kama mambo hazarani haki yake kubwa ni jela. Huyu unaemtetea wewe ni beyond utetezi. Halaf mbona unamtetea sana? lol
 
Mhalifu ana haki as long as unaweza kutwist uhalifu wake usionekane adhawaizi kama mambo hazarani haki yake kubwa ni jela. Huyu unaemtetea wewe ni beyond utetezi. Halaf mbona unamtetea sana? lol
Hahahah. . .basi simtetei tena kesi isije ikanigeukia mimi.
 
@Kloro,hehehehe!jaman wangu ndio umenigeuka au?ww c ulinambia zile 9tdrec za rimot hakuna size yangu labda nipungue kidogo!anyway ucjal kuna kitu cha mchina with in 24hrs mwili huoooo!ungependa nijazie maeneo gan hasa ili nguvu niielekeze huko zaidi!
 
na umbea wako..lol..ina maana hujui ka ni mafua 2?....mie hata ckujua kama kijana anaumwa, threads za maombolezo ziliniteka haswaaa.....huyo kaomboleza klo kweli?...miss u mdada!
Miss You too mdada! Heri ya mwaka mpya mpendwa!..nimefurahi kukuona jamvini manake ulipotea ghfla kama klorokwini, kijana alikuwa mgonjwa bana ila Mungu si athumani wala the boss, amemjalia afya na uzima tele! Si umemwona anajivinjari jamvini?

Afu toka lini umesahau kuwa kusutwa ni suna?..lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…