Kwanza usiwe unatumia neno tamko "logic" kwangu mimi,samahani lakini sababu nina yajua madhaifu ya "logic"
Unaweza kunipa ushahidi ni wapi dini imefundisha kumuogopa Mola ?
Huku ukiwa unatafuta huo ushahidi,nakupa msemo mmoja wa waswahili unaosema hivi " Asie kujua hakuthamini". Huu msemo una maana sana,kama ukifikiria.
Sisi tunafundishwa kumjua Mola na kumtii,sasa unapoleta kauli ya kumuogopa inabidi utoe ushahidi. Rejea msemo huo juu utaelewa hapa namaanisha nini. Sasa kama kumtii Mola ndio kumuogopa,hii itakuwa maana mpya ya utiifu.
Ukijibu hilo swali,nitakupa ufafanuzi wa hayo unayo yadhani.
Nipo ...