YOUNG AFRICA 2023 is unforgettable ever ever ever...

Ukiwa Mchambuzi uchwara wa mpira usiohusiana na timu yako kwa makasiriko na kushuhudia usiowapenda wakivaa medali, wakinyakua golden shoes, na Kipa bora wa CAFCCL 2023 basi jipige kifuani mara 3 na kujiita "MBUMBUMBU"

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hahah sasa Uto kitu gani Special mmefanya mpaka mpate Kombe...?

Jamaa Kipa wao alikua likizo hajapewa changamoto compared na Diarra.

Kama mnajiweza jipangeni Champions league mkapambane na vidume msimu ujao.,, [emoji23]
Kilichowafanya muwe chini ya Yanga FC "Wananchi" kwa viwango vya timu bora Africa 2023 ni nini?

Au umeamua tu kukaza fuvu ili nawe uonekane jinsi ulivyo PUMBA?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Makombe ya ndani&ngao ya Jamii Mnyama ashachukua sana.,

Nikajua unazungumzia Kombe la CAF bhana [emoji23]
Weka hapa idadi ya hayo makombe na Yanga iweke hapa ndipo utajua Makolokolo hana tofauti na Ke amsimangaye Mumewe si Dume ilihali tayari kashazalishwa Watoto na huyo huyo Me.

Timu yenye makombe mengi TZ Yanga FC.

Timu inayoongoza kuyafunga Makolokolo duniani Yanga FC.

[emoji28][emoji142]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau na hii

•walikuwa wanarusha mipira mingi kwa wakati Mmoja uwanjani kupunguza presha ya mchezo

•Walikuwa wanawachokoza wachezaji wa yanga waondoke Kwenye focus

• walijiangusha hovyo uwanjani kuonyesha kuzidiwa.
 
VIVAAAAAAAA 💚💛💚💛💚💛
 
Majitu ya utopolo kama yamepagawa hivi!! Yameshindwa kuchukua ubingwa wenye timu dhaifu yamebaki kupiga mayowe tu,timu zote zilizoshiriki hii michuano nyingi zinapumulia mkiani kwenye ligi za nchi zao na wengine wameshuka daraja.

Utopolo kama mmeshindwa kuchukua huu ubingwa wa msimu huu uliokuwa umejaa vilaza mtaweza nini tena? Mmetumia kila aina ya silaha, uchawi,kupulizia sumu vyumbani,kuhonga marefarii waliokuwa wanakuja taifa, kuhonga timu pinzani dhaifu malumo na wapopo rivers ili waachie magoli lakini bado mmeambulia patupu.

Mlijaribu kuingia ligi za wanaume mkaishia kufurushwa tu kwenye round ya kwanza ila mmekaa kimya hamtaki kulizungumza hili!! Na msimu ujao mtacheza tena ilo kombe lenu la walioshindwa maana club bingwa mtagongwa tu kwenye hatua za awali.
 
Kipa bora wa mechi sio wa mashindano!! Naona mmechanganyikiwa kwa kuchukua kombe la luza? Mngefika makundi ligi ya mabingwa Africa kwa akili zenu hizi za ushagoo si mngefanya sherehe mwaka mzima, na bi mkola na msaidizi wake wa msoga wangewapa mpaka vyumba vya kulala uko waliko waita kula ubwabwa!! Na gsm bila shaka angepewa tax holiday ya miaka kumi zaidi ya kutolipa kodi.
 

ha ha bila picha ya kikosi mkuu!

Kiukweli mimi Yanga lia lia msimu huu wamenifuta machozi kwa mengi.

Kubwa kabisa la kihistoria ni kushinda mechi mbili muhimu ndani ya ardhi ya Waarabu. Hapa wameonesha kuwa jeuri ipo, bahati imepungua.

Game on!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…