Young Africans imeshamsahau Feisal, Mayele, Nabi Moto unazidi kuwaka, Simba ijifunze kitu hapa

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Salaaam Wanamichezo

Ngoma ilianzia katikati ya msimu wa mwaka jana bwana mdogo Feisal aliejiona ni mkubwa kuliko timu akaambiwa dogo tulia huu ukubwa tumekupa sisi, na sisi tunaweza bila ya wew akabisha basi akaonjeshwa joto kidogo then akaruhusiwa asepe, Lakini Yanga haikuonekana kuyumba na alizionjesha joto timu mbalimbali za Africa,

Baada ya msimu kuisha watu wakadai Yanga alikuwa ni Mayele wengine wakadai ni Nabi wengine wakasema ni muunganiko wa timu akitoka mmoja tu hamna kazi.

Lakini katika kuonesha Yanga ni timu inayoendeshwa kwa akili zaid Nabi akaruhusiwa aende, Mayele nae bila kumsahau Bangala akauzwa

Upande wa pili mujifunze hili inasemwa Simba iliyokuwa bora ilikuwa ni ile ya miaka minne nyuma ambayo mastaa wake ni Chama na Miquissone, kuuzwa kwa mastaa hao ilitosha kabisa kutokea anguko la Wanalunyasi na ajabu yake katika kujitafuta kwake ili irudi ktk line imeona iwarudishe watu hao na bado mambo si mambo papatu papatu sio mchezo

Kuna funzo kubwa sana hapa
 
Ni mbaya sana kumtegemea mwanadamu 100%, ipo siku atalizimika kushindwa kufanya anachokifanya kwa ajili ya maslahi ya timu, je ndio mwisho wakupata matokeo chanya? Kama jibu ni ndio basi ujue furaha itakuwa ya kusua sua kama ya BARCELONA FC baada ya kuachana na MESSI( G O A T)
 
Simba ilishajifunza kitambo sana ikaanza kupasua watu khamsa,,khamsa.
Ushahidu huu hapa👇.

images (1).jpeg
 
Salaaam Wanamichezo

Ngoma ilianzia katikati ya msimu wa mwaka jana bwana mdogo Feisal aliejiona ni mkubwa kuliko timu akaambiwa dogo tulia huu ukubwa tumekupa sisi, na sisi tunaweza bila ya wew akabisha basi akaonjeshwa joto kidogo then akaruhusiwa asepe,

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Umeongea kitu pointi sana
 
Never celebrate too early..ni kweli yanga wana timu nzuri lakini bado ligi ndio kwanza inaanza.
 
Salaaam Wanamichezo

Ngoma ilianzia katikati ya msimu wa mwaka jana bwana mdogo Feisal aliejiona ni mkubwa kuliko timu akaambiwa dogo tulia huu ukubwa tumekupa sisi, na sisi tunaweza bila ya wew akabisha basi akaonjeshwa joto kidogo then akaruhusiwa asepe, Lakini Yanga haikuonekana kuyumba na alizionjesha joto timu mbalimbali za Africa,

Baada ya msimu kuisha watu wakadai Yanga alikuwa ni Mayele wengine wakadai ni Nabi wengine wakasema ni muunganiko wa timu akitoka mmoja tu hamna kazi.

Lakini katika kuonesha Yanga ni timu inayoendeshwa kwa akili zaid Nabi akaruhusiwa aende, Mayele nae bila kumsahau Bangala akauzwa

Upande wa pili mujifunze hili inasemwa Simba iliyokuwa bora ilikuwa ni ile ya miaka minne nyuma ambayo mastaa wake ni Chama na Miquissone, kuuzwa kwa mastaa hao ilitosha kabisa kutokea anguko la Wanalunyasi na ajabu yake katika kujitafuta kwake ili irudi ktk line imeona iwarudishe watu hao na bado mambo si mambo papatu papatu sio mchezo

Kuna funzo kubwa sana hapa
Tatizo ni mwiko, Twisila, Makambo, hawa hawakurudishwa pale utopoloni?
 
Dogo Bora alivyokomaa kuondok tu mana leo hii angecheza namba ya nan pale? Yao kwasi au?
 
Back
Top Bottom