Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari.
Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans.
Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye Mazingira Yote Na Matokeo Yanakuwa Mazuri.
Kwenye Jua Mtu Anapigwa, Kwenye Mvua Mtu Anapigwa, Kwenye Nyasi Asili Mtu Anapigwa, Kwenye Nyasi Bandia Mtu Anapigwa, Kwenye Matope Mtu Anashonwa Vile Vile, Mkisikia Tangazo Duniani Timu Inahitaji Ikacheze Kwenye Moto Tuleteeni Hizo Habari Tukaiwakilishe Tanzania.
Haya Yote Yamesemwa Na Meneja Habari Wa Dar Young Africans, Ally Kamwe Pia Ambae Ndio Mwenyekiti Wa Wasemaji Wote Wa Timu Za Mpira Tanzania.
Haya Yote Yanasemwa Hivi Baadae Ya Dar Young Africans Kutoshikika Kwenye Msimamo Wa NBC Premier League Hapa Tanzania.
Mechi Inayofuata Ya Mabingwa Hawa Wa Kihistoria Dar Young Africans Ni Derby Ya Kariakoo Dhidi Ya Simba Sc Ambao Wanasuasua Katika League Kwa Sasa Ambayo Itachezwa Tarehe 20 April 2024 Uwanja Wa Benjamin Mkapa.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu