Young Africans inaweza kucheza mpira hata kwenye moto

Umesahau Nguruwe Fc
 
Hii takataka iliyojitafuta juzi..yanga ni kama mgumba aliyepata mimba uzeeni,akiwa na miaka 86..lazima makelele mtaani yawe mengi..tokea iyanzishwe ndio imebahatika juzi kuingia robo final Hii takataka iliyojitafuta juzi..yanga ni kama mgumba aliyepata mimba kwa miaja 86..lazima makelele mtaani yawe mengi..tokea iyanzishwe ndio imebahatika juzi kuingia robo final club bingwa kwa akiwa na miaka 86.
 
Nungu Nungu ataanza hiyo gemu na Aucho kiungo kitatulia sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…