Young Africans SC yakodishwa rasmi kwa Yusuf Manji

lkn kuna ile kitu ''utani wa jadi' naona kama utapotea? na ndio burudani kuliko mpira uwanjan. kila kheri Yanga
 
We unajua naingia game ngapi za Yanga pale Taifa? Au hujui kitendo cha kwenda uwanjani na kulipa kiingilio naichangia timu?

Proposal yangu ni kwamba Yanga iachane na huu mkataba.


Unachangia kea raha zako... silo kea manufaa ya klabu! Kwan Manji aingiagi mpirani.


kama wee unachangia mbona auidai Yanga sass?!?!
 
Upo sawa... maana yake ni kwamba kwa huyo mmoja mkudishaji ndo atalipa, lakini hao wengine wanaodaiwa watalipwa na Yanga Club. Maana klabu bado ipo na mapato mengine.

sijui umenielewa hapo???
 
Hicho kifungu namba tano kimenishangaza eti watajenga uwanja kwa asilimia 25% watakazopewa kutokana na faida swali ni je hiyo 25% ya faida isipopatikana inamaana yanga hawatakua na uwanja kabisa? Mbona kama harufu ya ufisadi?
 
Ushafeli. Hujaelewa chochote hapa mkuu
Hicho kifungu namba tano kimenishangaza eti watajenga uwanja kwa asilimia 25% watakazopewa kutokana na faida swali ni je hiyo 25% ya faida isipopatikana inamaana yanga hawatakua na uwanja kabisa? Mbona kama harufu ya ufisadi?
 
Standard 1 read and understand article and bado unashindwa elewa chochote boss?! Weka mahaba pembeni uanze upya
 
Safi sana! Kilichobaki ni kuwapiga wang'oa viti 7-0
 
Standard 1 read and understand article and bado unashindwa elewa chochote?! Weka mahaba pembeni uanze upya au mpaka mkoloni akukimbize ndo uanze kuelewa?!
Sasa ndio unieleweshe wewe uliefaulu sio mkishalishwa kachori mnakuja kutetea hata usichokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…