Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajua naingia game ngapi za Yanga pale Taifa? Au hujui kitendo cha kwenda uwanjani na kulipa kiingilio naichangia timu?
Proposal yangu ni kwamba Yanga iachane na huu mkataba.
UmenenaHuu mkataba unahitaji marekebisho Yanga sio Timu ya Soka in Timu ya NETBALL
Upo sawa... maana yake ni kwamba kwa huyo mmoja mkudishaji ndo atalipa, lakini hao wengine wanaodaiwa watalipwa na Yanga Club. Maana klabu bado ipo na mapato mengine.Katika huo mkataba kuna kipengele kinasomeka "Mkodishwaji atailipia YANGA deni la Shilingi bilioni kumi na moja na milioni mia sita na sabini na sita tu (Tshs. 11,676 billioni) inayodaiwa kama Mmiliki na Mkopeshaji mmoja."
Katika hiki kipengele kina jambo linatia mashaka, je ni kweli Yanga inadaiwa na Mkopeshaji mmoja peke yake au mtu (Mkodishaji) anataka kujilipa kiaina? Je ina maana watu walioikopesha Yanga hawana chao?
Huu mkataba unahitaji marekebisho Yanga sio Timu ya Soka in Timu ya NETBALL
usisubiri siku 90.... soma hiiNasubiri hiyo siku 90
Bill 11
25% faida
Mil 100 kila mwaka
Kuendeleza uwanja ....mkataba wa Carl Peters
Hongera Yanga na hongera Manji
Hicho kifungu namba tano kimenishangaza eti watajenga uwanja kwa asilimia 25% watakazopewa kutokana na faida swali ni je hiyo 25% ya faida isipopatikana inamaana yanga hawatakua na uwanja kabisa? Mbona kama harufu ya ufisadi?
Katika huo mkataba kuna kipengele kinasomeka "Mkodishwaji atailipia YANGA deni la Shilingi bilioni kumi na moja na milioni mia sita na sabini na sita tu (Tshs. 11,676 billioni) inayodaiwa kama Mmiliki na Mkopeshaji mmoja."
Katika hiki kipengele kina jambo linatia mashaka, je ni kweli Yanga inadaiwa na Mkopeshaji mmoja peke yake au mtu (Mkodishaji) anataka kujilipa kiaina? Je ina maana watu walioikopesha Yanga hawana chao?
Sasa ndio unieleweshe wewe uliefaulu sio mkishalishwa kachori mnakuja kutetea hata usichokijuaUshafeli. Hujaelewa chochote hapa mkuu
Sasa ndio unieleweshe wewe uliefaulu sio mkishalishwa kachori mnakuja kutetea hata usichokijua