Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mkuu Kichwa Kichafu leteni makoti hebu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baridi imezidi sasa.
ππ Hatari Mkuu.Hofu yangu tarehe 30 wasije wakasingizia wachezaji wao wana mafua[emoji28]
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kupata points 40 si lele Mama eti Mkuu. π€£Hivi Hao Wengine Wanafanya Nini Hata 40 Tu Hakuna Timu Ambayo Imefika.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaa.Huku Jackets Nzito Na Za Umeme Ndio Kidogo Inaweza Kupunguza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Nimecheka sana aisee.Tafadhari Naomba Unisaidie Kunielewesha Kidogo Hivi Hizo Timu 15 Zinafanya Nini Huko Viwanjani?
Hakika Mkuu. Yule ni kama anajiona yupo juu ya timu.Tujifunze kuishi bila Aucho ,mchezaji kucheza imekuwa nadra sana Leo yupo kesho hayupo ni faida kuwa tuna kocha mzuri anajua kuhamasisha waliopo wacheze kwa bidii
Haters wa wananchi wanaumia tu, japo iliyotolewa ni Geita.Hakika huu ni mwaka wetu Wananchi. π
Na bado Mkuu kwani huko tunakoelekea ndo wataumia zaidi. πHaters wa wananchi wanaumia tu, japo iliyotolewa ni Geita.