Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mbeleko fc
Uto fc
Miamala fc
Mbwa fc
Bakuli fc
Masufuria fc


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Usisahau magoli waliyonayo MAKOLOKOLO FC mengi ni ya penati kuliko yasiyo ya penati.

Pia ni MAKOLOKOLO FC pekee ndiyo iliyotolewa wachezaji 14 kwa kadi nyekundu kuliko timu zote za NBC PL TZ [emoji28]

MAKOLOKOLO HOYEEEEEEE............[emoji16][emoji4]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Cheka tu Mtani wangu. Sababu wenzetu hamkosi sababu atii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani bhana sasa ndo utukejeli hivi? Sio poaa yaan, ila wale GGM hawakutaka kuvuka bhana.

Baada ya kipa kukosa, ilibid wao wampe mahadhi apige wangeshinda, wao walimpa dogo yule khaah kawaangusha, hata mahadhi amekosa couz kipa wenu alishajiandaa kuokoa save zinazofuata.

Mie nawalaumu wao GGM hawakua serious bhana.
 
Cheka tu Mtani wangu. Sababu wenzetu hamkosi sababu atii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakukumbusha tu mtani, nilikwambia kwenye ligi tayar ipo kwenye mikono yenu , nikakuambia jaribun ku face uhalisia wenu ili mjijue uwezo wenu n upi mjiandae kisawasawa kucheza huko Africa next season .. nilikutolea mfano nikasema , ukiondoa ligi. Mashindano mengine yote pamoja na mechi za kirafiki mme henyeshwa kweli kweli , nikakuambia pigien kelele viongoz wenu wapunguze bahasha za kaki mpate kikos cha maana mfanye vyema huko Africa ukakataa hakuna.. leo nayo n moja ya ushahidi
 
Anyway to the next round ila kazi kubwa inahitajika lakini Geita wanapackage kubwa ya experienced players nadhani Hilo limewabeba sana nilikuwa naiangalia naona kikosi Bora sana pale Makolo watakaa vizuri sana
 
Hahahaaa! Lol
 
Afadhali aliyepewa penat 10 za halali kuliko yule aliyepata 2 za mchongo...
Mnanunua sana mechi UTOPOLO

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…