Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787] na badddo. [emoji126]

Mi nakusalimia tu Mtani mana uliadimika hadi tukamiss hivi vichekesho. [emoji3]
Mtani mi nipo nakula maraha tu huku unyamani,si unajua tena mambo ya kimataifa/international...[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzetu barcelona,bayern munchen na chelsea wameaga mashindano sisi tunapasua anga tu.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaaaa.

Weya izi kesho.

Your browser is not able to display this video.
 
Wacha Weee!! Haya bana poa poa Mtani. Mmefurahi kukuona.

Ewaaaa!! Endelea kutupa vichekesho kama kawaida yako Mtani. 🀣🀣

🀝🀝
 
Binafsi sijapenda mechi yetu kupelekwa trh 23. TFF na makolo wanaweza kufanya njama wachezaji wetu muhimu waumizwe ili trh 30 wasicheze

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mkuu hii ni nzuri katika kitengeneza utimamu wa wachezaji. Ni mbaya sana kukaa muda mrefu pasipo kucheza mechi ya kimaahindano wachezaji wanakosa match fitness. Na pia kuna wachezaji wengi wametoka majeruhi ni ngumu sana mchezaji atoke majeruhi hakucheza mechi zaidi ya wiki tatu halafu aje apangwe kwenye derby hawezi perform. Hivyo hiyo mechi itasaidia wakina aucho na Feisali kuanza kupasha pasha
 
Mkuu samahani lakini we huwa ni timu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…