Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread


Kwani VYURA mna mafanikio gani kwa miaka minne sasa?
 
We
mabingwa jumlisha mafanikio mbona mkiulizwa mafanikio mnakuwa na hasira wekeni maneno mengine kwenye kabati
king'ang'anizi mbona huleti mafanikio ya timu yakokulinganisha na muda WA manji kama mwenyekiti,utulivu,trophies,kuwakilishi kimataisha,.we mbona mafanikio ya timu yako miaka minne hayapo?unapima kukwama kwa mwarabu wakati we unakwama kwa toto,jkt,mwadui!,tumekuwekea data hapo juu unataka mafanikio gani sasa,njoo na data sio unalazimisha mada hapa jf peleka ujinga Wako fb kwa watotwenzio,losers
 
faida walioipata ni kuwapaka wanja pamoja na wewe
 
Kwa ukubwa wa klabu ya yanga na kiwango tulicho fkia now, saa hzi sisi hatuwez bishana na mashabiki wa matopeni, ni kujishusha hadhi, kama huyaoni mafanikio ya manji, onesha ya aveva
 
Dah! basi jamani msameheni..... Nadhani alitumia makwapa kufikiri badala ya ubongo.
 
Nashukuru MUNGU mashabiki wa Yanga hawafikirii kwa Jinsi hii....

Viongozi wangetutesa sana.
 
ni vema ukashughulika na boriti ktk jicho lako kuliko kibanzi katika jicho la jirani, kweli nimeamini ukimnyooshea mtu kidole vitatu vinakurudia wewe
Boriti imekaza sana wameagiza spana kutoka China... Hivyo wameona washadadie kibanzi cha jirani..... [emoji23]
 
Hapo kuna lipi jipya miaka minne imekwama kwa waraabu mara ngapi?na kama mafanikio ya juu ni yule alieipeleka makundi ligi ya mabingwa
Mafanikio ni kuwafunga waarabu tu...? Upgrade ubongo aisee.... [emoji23]
 
Boriti imekaza sana wameagiza spana kutoka China... Hivyo wameona washadadie kibanzi cha jirani..... [emoji23]
tushawazoea hao wa mchangani kazi yao kupiga domo, sisi kazi hiyo tumemuachia Muro tu anawatosha
 
1 amaejenga professionalism
2amemaliza migogogro ya uongozi ilio dumu miaka mingi
3.Yanga imeendeleea kuwa timu yenye mafanikio Afrika mashariki hakuna Mwaka tulio kosa kikombe
Nukuu: washabiki wa simba ni mambumbumbu by Aden Rage
Waambie wakutajie mafanikio yao basi ndani ya miaka 4 iliyopita.....

Watakutajia walimfunga Yanga goli 5.[emoji23]
 
Ni heri kukwama kwa Waarabu kuliko kukwana kwa Toto Africans na Stand United miaka minne mfululizo.

Kamhoji kwanza Aveva kafanya nini ndipo upate maono ya kuhoji mafanikio ya Manji.

Poor mkia na manyoya yake.
eishhhhhhh.... Unatonesha kidonda aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…