Liverpool ya kimara bonyokwa....ok ,sawaYanga ni level za Liverpool
Ndo wapi huko mkuu?
Aliumia akiwa na timu ya taifa lakeKama huwa simwelewi hivi huyu Aucho? Naona kaamua arejee au naye ndo alikuwa Sick?
View attachment 2196014
Ooh sawa Mkuu. Mana nikawa nasikia ni kama ana maringo sometimes.
Kabwili yupo wapi?Makipa kama Makipa wa Timu ya Wananchi. View attachment 2196019
Unamtaka?