Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nani anaichukua Yanga? Toa ushahidi, acha kupepesa macho .......
 
kwa akili hizi, acha avave awaburuze tu maana hakuna namna sasa.
 
Hii tabia ya Tanzania sijaona mahali kungine duniani. Unakuta washabiki WA simba baada ya timu Yao kushindwa mashindano wanavaa jezi za timu pinzani na kuishangilia dhidi ya Yanga, wanakuwa sawa sawa na mwanamke anaetamani kuolewa na kila mwanaume.
hivi mitaani nimeanza kuona watu wanavaa jezi za tp mazembe.
kwanini usibaki na timu yako kama haipo mashindanoni baki nyumbani kwenu au kwenye viwanja vya matopeni hujalazimishwa kuja uwanja WA kimataifa kuja kupiga vikelele visivyo na faida
 
Kwahiyo mafanikio ya Yanga utayapima kwa kumfunga simba 5 Basi? Mengine yote unahesabu kama sio mafanikio, haya blaza Hongera kuipenda simba hadi akili zinahama
 
walikuwepo akina Sendeu wakapita after all Muro ni misifa zaidi bila kuweka taaluma mbele na ndio maana twamwita wa mipasho tu
Wakati Sendeu akiwa anaongea hata kama timu yako imeshinda 10 bila wala husisimki...Muro ana ladha nyingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…