Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mapenzi tukiweka kando, hakuna km yanga hapa tz, wale vijana wajangwani ni hatari wanaugonga hasa.
 
sisi tunaleta vifaa tu Jangwani. nyie mikia FC kelele......
 
Jamani leo sijui vipikwa TP Mazembe tumlambe kweupeee.............
 
Tuwaombee wasiwe na umoja hata siku moja! Tuwasifie kwa kila ujinga wanaofanya tutakuwa tunawafunga tu! zamani marehemu Mzee kisimba aliwambia wale wana "umoja madhubuti"
 
Hawa jamaa Azam hawaonyeshi mpira. Je kuna kituo kingine cha tv kilichotangaza kuonyesha mechi ya NGAO YA JAMII???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…