Hahahaaa. Hamna kawaida tu shem.Hofu ilikujaa shemela.
Fiston Mayele [emoji460] (The Predator In Predation)Vp huko top scores bado mnamsikia yule nanii [emoji23][emoji23][emoji23]
Tulimiss sana hivi vitu. 😅 Naiona tarehe 28 tukitetema tena namna hii. Teh teh.Fiston Mayele [emoji460] (The Predator In Predation) View attachment 2232274
Lazima Tuteteme Nao Round Hii..Kama Nakuona Mkuu Siku Hiyo Utakavomuigizia Hasa Pale Anapomalizia Na ile Staili Yake Ya Kupiga Kichwa Nusura Uvunje TV [emoji23][emoji23][emoji1787]Tulimiss sana hivi vitu. [emoji28] Naiona tarehe 28 tukitetema tena namna hii. Teh teh.
Hahahaaa. Lol.Lazima Tuteteme Nao Round Hii..Kama Nakuona Mkuu Siku Hiyo Utakavomuigizia Hasa Pale Anapomalizia Na ile Staili Yake Ya Kupiga Kichwa Nusura Uvunje TV [emoji23][emoji23][emoji1787]
Mi nimeipenda staili ya utembeaji wa Ambundo jana baada ya kufunha[emoji28]Lazima Tuteteme Nao Round Hii..Kama Nakuona Mkuu Siku Hiyo Utakavomuigizia Hasa Pale Anapomalizia Na ile Staili Yake Ya Kupiga Kichwa Nusura Uvunje TV [emoji23][emoji23][emoji1787]
Mi nimeipenda staili ya utembeaji wa Ambundo jana baada ya kufunha[emoji28]
Yanga raha sana.
Simba inazeesha
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hawana hamu na timu yao saa hii. 🤣Mi nimeipenda staili ya utembeaji wa Ambundo jana baada ya kufunha[emoji28]
Yanga raha sana.
Simba inazeesha
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Dickson Ambundo Kiboko Ya Mabishoo Alitishaa Sana [emoji23][emoji23]Mi nimeipenda staili ya utembeaji wa Ambundo jana baada ya kufunha[emoji28]
Yanga raha sana.
Simba inazeesha
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Dickson Ambundo Kiboko Ya Makipa Mabishoo Wote NBC Premier League, Bado Manula [emoji23][emoji23]