Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Dakika ya ngapi wamekatiwa maji??

vyura watakufa wakikosa maji jamani mjueee!
 
mpira umeisha ama vepee[emoji196] [emoji196] [emoji196] ???
 
Kupata sare siyo mwisho wa dunia.
Waambie migongo wazi wenzako. Sare tu mnapiga wachezaji,wakifungwa sijui mtawafanya nini?Changeni mlipe mishahara au pigeni magoti jamaa alipe.Kuwapiga kwa kudai haki zao sio ustaarabu.
 
Adui yako muombee njaa,mikia leo wapigwe tu,maana hamna namna
tunaomba mjaeee uwanjani mapema kabsa tuje tuwachune bila ganzi!

tumekula mbao ya mpingo bila maji sembuse hawa kuruta/migambo ya kariakoo???

tutakulaaa!
 
Waambie migongo wazi wenzako. Sare tu mnapiga wachezaji,wakifungwa sijui mtawafanya nini?Changeni mlipe mishahara au pigeni magoti jamaa alipe.Kuwapiga kwa kudai haki zao sio ustaarabu.
mkuu hebu huu ubuyu uweke wazi kidogo niuelewe!

wamempiga nani?? kosa nini??
 
Hivi Refa wa Jana alishindwaje kufunga goli la ushindi Kwa Wakimataifa? Nashauri TFF wamfungie
 
Nasikia Yanga wamekata rufaa. Haiwezekani mfungaji wa African Lyon akaitwa Ludovick na refa akawa na jina hilo hilo Ludovick. Wanadai ni njama za TFF. Tungojee tuone matokeo ya rufaa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…