Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hamshindi
Kumbe.Leo hamshindi
Kwenye huu uzi soma post namba 22022 utaona pendekezo la wadau kuhusu jezi hasa baada ya performance ya mechi dhidi ya Club African na Singida big stars. Jami Forums ni platform inaunganisha viongozi wa nyanja tofauti tofauti na vinavyoandika humu vinaweza vikafanyiwa kazi na wahusika.Leo mmefanya nimuamini @genta kuhusu jezi za yanga
Mtaniiiiiii vipiiiii mbna ghaflaaaa sanaaaaaa??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]