Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mbona game haijaanza wakuu, nipo safarini nafatilia ila sijaona kitu hata kwny page za timu
 
Ile misemo pendwa imepotea mithili ya mdudu dinosaur
1.[emoji2788] Ukiona Yanga anaongoza ligi ujue Simba hajacheza [emoji777]
2. [emoji2788]Hao kawaida yao hua wanatangulia na basikeli ya miti [emoji777]
3.[emoji2788]Hao kawaida yao kuongoza round ya kwanza round ya pili tunakuja wenye nasafi yetu [emoji777]
N.b sasa hivi wamekuja na habari ya Jezi nyeusi wakati wao tumewapapasa bila jezi nyeusi
 
Muache kuvaa jezi za misukule nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…